madaraja ya juu ujenzi kuanza 2014 ''nyie hamjasikia''? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madaraja ya juu ujenzi kuanza 2014 ''nyie hamjasikia''?

Discussion in 'Major Projects in Tanzania' started by Kiboko Yenu, Feb 27, 2012.

 1. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi nimesikia kutoka kwa mtu mkubwa pale wizara ya ujenzi amesema lengo ni kujenga mazingira ya ushindi uchaguzi wa 2015
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna madaraja ya juu wala flyovers kwa Tanzania chini ya CCM!! labda kama flyovers mnamaanisha zile safari za wakulu kwa ku-fly!!!!
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nigeria wana ma-fly overs kibao!!! Mbona hayajawasaidia, nchi imegubikwa na umasikini tu, hakuna utu wala thamani ya kuwa mnigeria!! Umasikini kwa kwenda mbele...

  Naona CCM ina aamaua kutupeleka kama Nigeria sasa, wanataka kuyajenga kwa faida yao!! Kwa hatuyahitaji!!! Maana hata juzi JK alipokuwa australia alisema hili kuwa wawekezaji hawataki kuja kwetu na kununua magari mengi ili TZ i-invest kwenye infrastructure!!!
   
 4. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nelewe kwamba unapinga kuwepo kwa flyovers au, mbona mimi naona kama tunayahitaji hapa dsm na arusha? tunaumia na foleni, nafikiri pengine yatapunguza ili tuwe tunafika home mapema. labda ungesema jitihada zilizopo hazitoshi kwasababu wa mfano, utakuta morogoro road wamejenga ile DAT, lakini mandela road au kilwa road hawajajenga kwahiyo izo daladala zinazotusumbua bado zitakuwepo barabara hizo. foleni kubwa ikitoka mwenge au buguruni wakakutana na mataa pale ubungo, nani anatakiwa ampishe mwenzie kati ya DAT na magari mengine toka kimara na posta na wale wanaotoka mwenge na buguruni? ilikuwa bora wajenge DAT kila barabara ili tuwe na mabasi ya kisasa dar nzima. pia, kubomoa lile jengo la tanesco kwaajili ya barabara za makutano na za juu ni hasara kuliko kubomoa wizara ya maji pale ambayo ni majengo ya chini ambayo hayana thamani sana ukilinganisha na gorofa na mitambo ya tanesco. napendekeza flyovers pale ubungo mataa na ile wizara ya maji ihamishwe pale papanuliwe barabara na makutano.
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu, sikatai hayo ma-fly overs! Tunachosema hakuna mkakati unaojumuisha wadau wote kosekta, watumiaji na wote wanaohusika kupunguza foleni! Tunakimbila single solutions kwa kila tatizo, wakitaka wayajenge kwa network nzima, na kuzingatia bara bara zote, serikali haitaki kujenga "efficient road network" inayohakikisha magari yanayoingia na kutoka yana mpngilio mzuri!!

  Litajengwa hilo li fly over la tazara na tatizo halitakwisha, infact litakuja tatizo lingine na compliency katika barbara za juu!! Tutakufa sana tu!! Jeshi la polisi bado linafanya kazi kizamani kuuhudumia raia!! Wana hela nyingi sana wanazo kutoka katika budgets wanagalo tungenza hata kuona wamefunga CCTV kwenye junctions kubwa kuanza ku-curb uhalifu na uvunjifu wa sheria za bara bara!! Wamelala...

  Mi nasubiri kwa hamu hilo li fly over kaka...
   
Loading...