Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,271
- 5,892
Hafuru ya uvundo au marashi mazuri ya udi kila chumba?Ukipita lile chocho wanatoka nje,yaani unakuwa kama unakagua gwaride..
Sema kuna harufu/ufundo wa k tu unaisikiaa
Ova
Hafuru ya uvundo au marashi mazuri ya udi kila chumba?Ukipita lile chocho wanatoka nje,yaani unakuwa kama unakagua gwaride..
Sema kuna harufu/ufundo wa k tu unaisikiaa
Ova
dahhWenzako wameshajua kama unataka ukanunue uliza usianze mbali kujifanya unajua kutoa mwelekeo
Mkuu mteja si ndio analeta pesa analaumiwaje hapa?Hii ajira haihitaji vyeki. Ni kiuno chako tu. Waache dada zetu wajiajiri bwana. Tanzania ya viwanda imebaki ndoto za mchana tu.
By the way wanaotakiwa kulaumiwa ni hao wateja wao.
Kwanini biashara hiyo ikome? Biashara yenye wateja itakomaje? Mie nilitegemea unaishauri serikali itoe leseni kwao ili biashara iwe halali na iboreshwe. Nchi zingine zinakusanya kodi kwa makahaba na fedha hiyo hiyo ndo hutoa misaada katika nchi masikini kama yetu. Tusiwe masikini jeuri kuto kukubaliana na hali iliyoopo. Uzinzi umeshamiri hakafu tunataka kujifanya haupo! Hapa JF post ya ufusika ndo yenye wachangiaji wengi kuliko post za maana katika jamii. Huo ufusika unafanyika kati ya nani na nani? Binadamu na ng'ombe? Au?
Mi nadhani wakitaka kukomesha biashara hii wawachukulie hatua wanaume wanaokwenda kununua ngono, kinyume cha hapo biashara haiwezi kukoma...
Hao wateja watamalizia wapi shida zao? Je hawatabaka watoto zetu,dada zetu.Waachwe kwa faida ya watoto wao.Mi nadhani wakitaka kukomesha biashara hii wawachukulie hatua wanaume wanaokwenda kununua ngono, kinyume cha hapo biashara haiwezi kukoma...
Watu washapona au washapata maradhi?Ni kweli na mimi ni mkazi wa hapo.
Kihistoria hao wahaya ambao wapo hapo wapo toka 80s huko,ni wazamani sana kwenye hiyo biashara na watu wengi sana washapona hapo.
Alafu wale wanakaa katika vyumba vyao,kwao sasa utawezaje kumkamata mtu kwake?
Mi naona kama serikali imewaruhusu kiana wale watu maaana sijawahi kuskia anakamatwa mtu pale.
Siku za hivi karibuni nimegundua wanyaturu kwa biashara hii hawana mpinzani,heshima kwenu mademu wa kinyaturu,WAHAYA, WANGONI, WANYAKYUSA WA KYELA, WAMBULU, WARANGI NA WANYATURU WAPI WANAOONGOZA KWA UMALAYA?
Ha ha haSiku za hivi karibuni nimegundua wanyaturu kwa biashara hii hawana mpinzani,heshima kwenu mademu wa kinyaturu,
Hawa watu hawana vicmi lakini ukiwachukua show zao za kibabe,halafu wako free hawana mipaka
Ndio mitaa ip io mzeeMalipo yao yakoje , naelekea Tandika kwa Wahaya. Wanatusaidia Sana hawana usumbufu hao.Kazi iendelee
Engineer nitakupitia ukapaone live.Simama road hapo mida ya wanaNdio mitaa ip io mzee