Madampo Yote Tuyape Majina Ya Mafisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madampo Yote Tuyape Majina Ya Mafisadi.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by spencer, Dec 30, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GrEatThinkers,

  Nimetafakari sana nimeona kwa kuwa Inafaa yale madampo ya Uchafu tuyape majina ya viongozi wezi,wahuni, wavunja sheria nk.

  Hii itaturahishia kuwakumbuka milele, kizazi baada ya kizazi. Majina yao yatabaki kuwa ni kinyaa machoni mwa watanzania.

  1: Dampo la Pugu-Liitwe Mackamba Dampo
  2:Dampo la Kurasini-Liitwe RostArm Dampo
  3:................................
  4:................................  Orodhesha Dampo lako halafu pendekeza Jina.:peep:
   
 2. m

  mohermes Senior Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dampo la Kawe-kwa mujibu wa kifungu cha(1) ibara ndogo ya (iv) naidhinisha lipewe jina la Salum Londa Dampo.
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Yap,

  Tena huyo linamfaa kabisaaaa, si alikuwa Kinondoni.
   
 4. m

  mwandupe Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 16, 2008
  Messages: 98
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  wazo zuri.nimelipenda
   
 5. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Dampo la tabata liwe la nani?
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Jamani madampo yameisa?????????????
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dampo la uwanja wa fisi liitwe-Slaa

  Dampo la pale mbezi mwisho liitwe- Mbowe

  Dampo la Ngaranaro Arusha liitwe- Lema
   
Loading...