MadameB,kipenzi changu mbona umenifungia nje usiku wote huu?

Wapendwa wangu! Ruhazwe & Madame B, vipi tena?
Hebu taratibuni basi, hakuna kisichozungumzika hapa chini ya jua!
Nini kimewakwaza? Watu wazima tupo hapa incase mediation required tupeni go ahead tuwawekee mambo sawa.

Wasuluhisha kwa mwenzio wakat kwako kwaukua moto waaapi na sahz wataka niwe mtu wamipasho sasa subiri nakuambia wewe apo unatoa macho hapa unadhan madame b hajisomi hakuna sa ngoja tuu wajua ulichofanya
 
Na we Judgement jifanye mediator tu, kesi ikikugeukia utajiju!!
 
Last edited by a moderator:
Wasuluhisha kwa mwenzio wakat kwako kwaukua moto waaapi na sahz wataka niwe mtu wamipasho sasa subiri nakuambia wewe apo unatoa macho hapa unadhan madame b hajisomi hakuna sa ngoja tuu wajua ulichofanya

Haya sasa mr judge kumbe na we una kesi na beibe nasty??
 
Last edited by a moderator:
Wasuluhisha kwa mwenzio wakat kwako kwaukua moto waaapi na sahz wataka niwe mtu wamipasho sasa subiri nakuambia wewe apo unatoa macho hapa unadhan madame b hajisomi hakuna sa ngoja tuu wajua ulichofanya

Eee bwana huwezi amini my swit! Nimekusakaje?
Jukwaa hadi jukwaa!
Nikakufumania kwenye uzi flani hapahapa chcht, nikakupa habari. Inshort nilisafiri kidogo jirani ya nchi, so nikawa maeneo yasiokua na Ntwk kabisaa.
Nimeback usiku huu.
Hembu nambie kinacho my lv!
Sory sikukuaga mambo yalikua lukuki, usijali swirry!
 
Nambie Kiperemende, mambo? Aisey nna siku tunapishana, hii kesi yangu na Nasty not concrete!
It's too soft , tunaimaliza usiku huuhuu!
Chezeiya Jg weyee?

Jamani we hilo ndo jina gani unaniita Judgement??

Haya daktari, mi nasubiri feedback tu!!
 
Last edited by a moderator:
Imgeukie marangapi mara ngap anatuhumiwa tayari hapa kuna rb yake

Nasty acha basi kunilipua kichwa mi ndo nafika toka safari, unataka kun'chinjia baharini ?
Istoshe nimerejea na kilalo si cha polepole!
Acha basi hivoo! Ndo kusema ndo utanilaza na kilalo changu?
Yaani my lav hata mijifti sijaifungua jamani !
Be calmy banaa!
Unataka unisababishie nihame Jey'efu au?
 
Kipenzi changu Ruhazwe JR,
Nahisi kukaribia kukuita X-wangu,
kwanza ni mihangaiko gani unatoka lukwiri, kurudi saa 7 kweusi?
Nahtaji talaka yangu,
P'se naomba uipenyeze chini ya mlango.
Kuna wengi wananifukuzia usiku na mchana hawanipati,ila wewe unaleta jeuri.
Unajua gari hili unaloweka kishoka tukienda Out kaninunulia nani?
Acha wanaojua thamani ya mke wakusaidie kulea.
Na sitafungua mlango mpaka Talaka imepenya chini ya mlango.
Na kwa taarifa yako, kaa ukijua kwamba hawa watoto 3 tuliokuwa nao,
Hakuna damu yako hata mmoja.
Wa 1 wa Mangi pale Dukani,
Wa 2 wa yule daktari pale Muhimbili na
Wa 3 ni wa yule aliyeninunulia gari unalopenda kuweka kishoka ukiwa unanipelekea nguo zangu Dry Cleaner.
Acha Mbu wakutafune.

mbona hujamuambia na huo ujauzito ulionao sasa ni wangu?? Au na mimi nalea vya watu
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha kwikwikwikwi tehtehtehteh mbona hapo bado.. leo ndo utaionja tamu ya madame B.!!! pale ubungo bodo kuna nafasi lakn unaeza kwenda kulala au njo kwenye ghetto la hauz gal wang..

unakaribisha mimba kwa hauc gel wako? Haya bwana..
 
Ahaa!
Kumbe ni yule shoga yangu Suzy wa pale Saloon.???
Kama ndo yule poa we m-bebe tu,maana tumewekeana dau,ye azae na wewe na mimi nizae na mumewe.
Hata roho hainidoboi...!!!
Aii..!!
Asa unan'letea zawadi ya Kaptura me ya nini?
Kampelekee Suzy wako.
Na kuanzia dk hii,marufuku kupanda usafiri wangu,utatembelea kwato zako mpaka ziishe.

madam si umuambie tu ukweli kuwa humo ndani upo na baba jenny
 
Back
Top Bottom