MadameB,kipenzi changu mbona umenifungia nje usiku wote huu?

Pole ruhazwe,sasa kazini utakwendaje? Au kakufungulia asubuhi ili uoge.
Ama kweli ndoa nyingine full usanii.

Hapa hafunguliwi mtu mlango,mpaka kieleweke.
Sio usanii Bishanga,nimechoshwa na vituko vyake.
 
Baba yule mjomba wa bichi ametoka chumbani kwako sasa ivi tena amesema atatupeleka ngorongoro wakati wa likizo.
 
Mwenzangu..!!! Ananitia aibu tu kwa majirani,kazi kupiga honi tu.
Kwanza me hata sikumpenda,
nimelazimishwa tu niolewe nae,cjui alitoa rushwa kwa wazazi wangu..!!!

na mi nlitaka kushangaa ulimpendea nin.!! Kumbe alitoa rushw, naomba hilo zoez liwe endelevu hamna kulala ndan mpka kielewek
 
Naomba unielewe mama watotowangu,nimetoka kwenye mihangaiko ya kutafuta riziki siunajua naamka asubuh na mapema wakati mwingie nawaacha watoto bado wawelala?.... madameB nifungulie basi mbu wa dar wananiuma.......
Sasa wee junior .Cux unafurahi nini mke wangu kunifungia nje?.....honey usisikilize majungu nifungulie tuyamalize wawili
acha upuuuzi wewe mtu mzima..unaanzisha thread za kipuuzi puuzi...ukue sasa
 
acha upuuuzi wewe mtu mzima..unaanzisha thread za kipuuzi puuzi...ukue sasa

we umefata nini huku,....samahan sana stress nilizo nazo za kufungiwa nje na wife zinanitosha,siitaji mashoga akha!
 
na mi nlitaka kushangaa ulimpendea nin.!! Kumbe alitoa rushw, naomba hilo zoez liwe endelevu hamna kulala ndan mpka kielewek

zoezi limeendela serious mpaka sasa job sijaenda nimerushiwa vifulushi vyangu vyote nje,dah mwanamke mbabe huyo
 
acha upuuuzi wewe mtu mzima..unaanzisha thread za kipuuzi puuzi...ukue sasa

Eti Ruha mpuuzi,wewe umemjuaje,
Kisa kaanzisha uzi,wengine wautungaje,
Utaja geuka chizi,maruhani yakungoje,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Kama huwezi changia,kacheze na mtu wako,
Hujatumwa kuchangia,nenda kacheze mdako,
Kiso chako wavamia,acha zako fyokofyoko,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Uzi wako wa maana,upi uliochangia,
Unaleta kujuana,chunga utaja umia,
Mpuuzi wa maana,eti we wajisemea,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Madame ninatamka,Ruhazwe si mpuuzi,
Kipi unachokitaka,anzisha we wako uzi,
Utakuwa takataka,kudharau vya ujuzi,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Beti tano ninagota,Madame nishatamka,
Ukitaka utafata,usipotaka timka,
Watakuchezesha kwata,ashuo litakushuka,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?
 
MadameB,huyu Yo.Yo anataka ni mviligue si bure naona ananimezea mate
 
Wapendwa wangu! Ruhazwe & Madame B, vipi tena?
Hebu taratibuni basi, hakuna kisichozungumzika hapa chini ya jua!
Nini kimewakwaza? Watu wazima tupo hapa incase mediation required tupeni go ahead tuwawekee mambo sawa.
 
Eti Ruha mpuuzi,wewe umemjuaje,
Kisa kaanzisha uzi,wengine wautungaje,
Utaja geuka chizi,maruhani yakungoje,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Kama huwezi changia,kacheze na mtu wako,
Hujatumwa kuchangia,nenda kacheze mdako,
Kiso chako wavamia,acha zako fyokofyoko,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Uzi wako wa maana,upi uliochangia,
Unaleta kujuana,chunga utaja umia,
Mpuuzi wa maana,eti we wajisemea,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Madame ninatamka,Ruhazwe si mpuuzi,
Kipi unachokitaka,anzisha we wako uzi,
Utakuwa takataka,kudharau vya ujuzi,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

Beti tano ninagota,Madame nishatamka,
Ukitaka utafata,usipotaka timka,
Watakuchezesha kwata,ashuo litakushuka,
UPUUZI WAUJUA, AU WALETA ASHUO?

heheheheeee madame pliiiz usinifanyie hivo beibe wa nasty jaman haaaaa hahahaaaa uuuuwiiii jaman upuuzi waujua wewe au waleta ashuo kwikwikwi mashairi ya malenga wapya au ya chekacheka. Dah niliona uzi huu sema jf inakata stimu smtms. Matengenezo meng mnoo
 
Back
Top Bottom