Madame B niko online, niulize swali lolote kunihusu mimi, iwe ni Mapenzi, Mahusiano na mengineyo

Nilikuwa nasubiri wamalize kuuliza maswali yao ya kitoto ili nami niulize maswali ya KIKUBWA.

Nina maswali 50 naomba unijibu:

1:Kulingana na taaluma yako ya ualimu unawasaidia vipi watoto ambao hawakuelewi mkiwa darasani?.

2:Ni nchi gani katika Afrika unaifuatilia tangu uhuru, siasa, maendeleo na nyanja nyingine ukiondoa Tanzania.

3:Taaluma yako uliipata kwenye mazingira gani? Je kuna wakati ulifikiria kukatisha ndoto zako kisa maisha uliyokuwa unapitia?

4:Nipe kisa kimoja ambacho ulikutana nacho shuleni au chuoni ambacho hakisahauliki kwenye kichwa chako.

5:Elimu uliyopata inanufaisha familia yako au unakunufaisha wewe mwenyewe na kama inanifaisha familia ni katika muktadha upi?

6:Ikitokea umepata nafasi ya kuchagua taaluma nyingine usomee mbali na ualimu utachagua taaluma ipi?

7:Uliwahi kuishi nje ya nchi kwa sababu za kimasomo na kama uliwahi ilikuwa wapi na ilikuwa kwa muda gani?.

8:Katika usomaji wako uliweza vipi kushindana na vishawishi vya wanaume?

9:Umewahi kushiriki wizi wa mtihani ili ufanye vyema?

10:Nitajie walau mkufunzi mmoja aliyekuwa anakufundisha na unapata amani na kwanini alikuwa akikupa amani na ilikuwa wapi?.

11:Wewe ni wa ngapi katika familia na mko wangapi?

12:Umewahi kushuhudia ugomvi wa wazazi wako na kama ndiyo ulikuathiri kwa kiwango gani?

13:Wazazi wako ni kabila moja?

14:Mama/ Baba amewahi kukuambia japo kwa uchache namna ambavyo alikutana na mwenzake na kama ndiyo hebu tueleze kidogo ilikuwaje.

15:Unahisi ulilelewa katika familia bora na kwani kama useme ilikuwa bora/au siyo bora.

16:Ni siri gani uliwahi kugundua kwa mzazi wako yeyote yule?

17:Ni tabia zipi za kifamilia ulikuwa hupendezwi nazo?

18:Wazazi wako walikuwa na utamaduni wa kuwatoa kwenye kusafisha macho? (out)

19:Unaweza kukumbuka siku ya mwisho kuadhibiwa na mzazi wako?

20:Umetoka familia ya mkulima, mfanyabiashara au ya mfanyakazi?

21:Wazazi wako waliwahi kukuambia usome uwe mtu fulani au uliamua mwenyewe?

22:Unaweza kukubali mwanao wa kike awe kama mama yako au wa kiume awe kama baba yako na kwanini ungependa wawe hivyo au wasiwe hivyo.

23:Ni wakati upi mgumu unakumbuka ambao familia yako ilipitia (KIUCHUMI).

24:Mlikuwa mnafurahia uwepo wa mzee nyumbani au akiwa safarini (mbali na nyumbani).

25:Unadhani jamii inazungumza vipi familia yako, ni familia ya aina gani kwa wanajamii.

Naomba nijibu hayo kwanza, naandaa mengine 25.

Karibu kwa majibu.
@Madame B
 
Hahaha we jamaa

Umepotea sana
 
💋 💋 😘 😘 😘
Asante mwaya japo wavimba macho wengine watakupinga....
Nimekupendea uwazi wako. Wewe ni mtu mzuri mno. Unaonyesha kiasi gani huidanganyi nafsi yako, wala kuidanganya jamii inayokuzunguka.
Binafsi nimejifunza mengi sana, na nikupe heshima yako Madame.
 
Nikiwa naelekea kuadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa, leo mimi Madame B niko online muda huu hapa MMU.
Naomba uniulize swali lolote kunihusu mimi,
Iwe ni:
Masuala ya Mahusiano,
Masuala ya Mapenzi,
Masuala ya kijamii,
Masuala ya kiafya na kiuchumi.

Please: Maswali yawe yanajibika ili hadhira muelewane.
Uliza lolote lakini lenye adabu adabu.
Wale mnaokesha na mimi Pm 24/7 nataka niwaone hapa na yale maswali yenu.
Asanteni,
Madame B
Umepotelea wapi we mama
 
B ni Brayton, Brian, Bahati, Beatrice, Baraka, Boaz, Brightness, Boniface.......kama hiyo yako haipo kwenye hayo majina basi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom