vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Ktk kipindi cha Mimi na Tanzania Channel 10 kinachoongozwa na Holice Temu miss Tanzania wa zamani kimerusha ,Tukio la kusaidia watoto wenye uitaji hasa walemavu ktk shule ya jeshi la wokovu,tukio lililoandaliwa na Madam Sophia nakuitwa madam Sophia charity event( mwalimu mwenye ulemavu binafsi nimeguswa sana na hatua hiyo na nitakuwa mmoja wa wachangiaji ili kuendeleza wazo zuri la huyo Dada,kuwasiliana na huyo dada ili kuendeleza mpango huo na kuchangia chochote 0713889861 na 0764123041 nadhani nimefanya sehemu yangu mungu awabariki sana