Madam Rita Mfano wa kuigwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madam Rita Mfano wa kuigwa!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Solita, Dec 23, 2010.

 1. Solita

  Solita Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefurahishwa na ubunifu wa maadam Rita kwani kupitia bongo star search vijana wanapata ajira, zaidi sana anaonekana ni mama mwenye huruma kwani hii imeonekana pale anapolia kila mshiriki anapochapa lapa, hongera Maadam.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,473
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Atuletee umeme basi....ndio muhimu kwa sasa siyo hayo ma BSS
   
 3. I

  Ikena JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Hajabuni kitu,,amekopi na kupesti.
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  U mean idea ya BSS sio ya kwake?
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nampenda sn huyu mama hongera zake
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Of Course not idea hii ilianza England kwa kina Simon Cowell na wenzake...... ilianzia kwenye Pop Idol na baadae Simon akajiengua wakaanzisha X - Factor..... ila bado sifa ziende sio kwa ubinifu bali kwa kuweza kuimanage......
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mi pia nampenda sana. Ingawa nasikia aliuza sana mwili nje.
  Sijui uzushi, maana wabongo nao hawachelewi.
   
 8. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mshenzi kabisa,anatuibia pesa zetu . Anatuambia tutume sms kwa wingi 'kumchagua mshindi,kumbe mshindi,anampa amtakae yeye,kitendo cha Master J Kuita washabiki eti washamba wanampapatikia Joseph Payne eti kisa ni mzungu ,na madam Rita kusema mzungu kitu gani,kimenichafua .Nimemdharau sana ule mama .Ameonyesha ni jinsi gani Busara na Hekima kwake ni F.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kumbe! nimekumiss Maria Roza uko powa/
   
 10. Solita

  Solita Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa jitu si uzalendo jamani!
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  UBUNIFU thats what we are lacking haya mambo yote ni ya kuiga......... TV programs zote.... Including Bongo Star Search.... Hakuna ubunifu hapa ni copying from A to Z.......
   
 12. Solita

  Solita Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si unaelewa penye mafanikio hapakosi maneno!
   
 13. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uzalendo hata mimi naunga mkono,kama walijua yote hayo Mzungu wangemchuja mwanzo uwezo si walikuwa nao,mi kilichoniboa matusi yao .
   
 14. Solita

  Solita Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasamehe bana!
   
 15. m

  mams JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Walilewa sana siku ile na matusi yao pamoja na dharau sidhani kama wanastahili hayo mnayowamwagia
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  By the way wewe sio Rita kweli???? because hizi ID za siri you never know....
   
 17. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wale ni matapeli wamebuni njia ya kuishi mjini.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hawajabuni wameiga............
   
 19. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  KWELI MKUU.LAKINI NGOZI NYEUSI INA MATATIZO GANI,HAIJI NA KITU KIPYA YANI NI COPY and PASTE.
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Alafu hatuchoki kupeana misifa kuliko hata wale wenyewe walioanzisha......, bora hata tungeiga na kufanya some changes na kuboresha, lakini hapana sisi ni watu wa kuhamisha kila kitu.
   
Loading...