Madalali wa nyumba Mwanza, nahitaji nyumba

mtumbuavipele

Member
Dec 22, 2015
17
27
Habari wanajamvi,

Naombeni mtu yeyoye mwenye namba za madalali wa nyumba Mwanza maana nahamia Mwanza na nahitaji makazi.

Ahsanteni.
 
Mkuu nimi si dalali. Kuna nyumba nauza Nyasaka kwa m30. Kama unauwezo nitafte kwa 0759741303 kwa detail zaidi
 
nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa bei ya Tshs milioni tatu unusu, inapatikana mtaa wa Kilimo B igoma. Nyumba ni tofali za tope, iko na miundombinu yote karibu ie umeme na maji

Ina eneo kubwa la kuwekeza zaidi kwa ufugaji wa kuku n.k

nitafute kwa namba 0683011003
Duh .......mzee unatania wewe
 
Punguza mzigo uliopo ktk memory card kifaa Cha kazi kipakie mzigo maana simu ndo ofisi yako mkuu VALUE
mkuu kinusikwetu natumia tecno m3 inashindwa kupandisha picha. kama una uwezo wa kunisaidia kifaa kizuri zaidi tuongee biashara nitakulipa baadae

bei zangu haziumizi kabisa pamoja na kwamba mm mimi ni dalali.

napatikana kwa namba 0683011003, nipigie tuzungumze mpaka uridhike, biashara ni mazungumzo
 
Kiwanja kipo maeneo ya kisesa
kimepimwa na docs zote na ushahidi upo

Hatua 30 kwa 25, bei ni mil 4 na laki 5.

Gharama za uandikishaji ni zangu mwenyewe na mwenye kiwànja. usiwaze juu ya hilo


bei zangu haziumizi kabisa pamoja na kwamba mm
mimi ni dalali.
napatikana kwa namba 0683011003, nipigie
tuzungumze mpaka uridhike, biashara ni
mazungumzo
Kisesa IPI?Uelekeo wa sumve au bujora?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom