misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,600
- 9,257
Facts mkuu.Mtazamo wangu.
Serikali imeuza korosho tani 100,000, kuna tatizo gani kwa mmunuzi kuuza kwa namna anayoona inamfaa? au tulitaka akaile yote yeye na familia yake?
Nadhani issue kubwa ni kama kampuni haijalipa fedha kwa hizo tani 100,000 ambazo wamedai kununua.
Labda ingekuwa kampuni imebeba korosho na awakutoa pesa naona hapo ndio ungekuwa mjadala.
Na kingine mjadala wako ungejikita kuwa hiyo kampuni kama walinunua je walilipa kwa hundi au letter of credit au walitumia means of payments ipi na walililpia bank ipi na information mbalimbali kujua kama kampuni ni genuine au briefcase lakini ukisema kampuni inauza korosho Alibaba nahisi unahitaji kupata darasa kuhusu masoko.
Sent using Jamii Forums mobile app