Madaktari, waziri na naibu wake, nani hana huruma kwa watanzania?

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Jamani, jana nilisikiliza TUAMBIE TBC, alikuwepo KASESERA na MZINDAKAYA. Hoja zao waote walisisitiza madakatari wawe na HURUMA kwa watanzania, warudi kwenye round table discussion. Kuna mchangiaji mmoja alihoji kuna hasara gani iwapo madaktari wataendelea na mgomo iwapo mawaziri hawatajiuzulu na kuna hasara gani iwapo mawaziri watajiuzulu na kurudi kazini. Swali hili halikujibiwa, waliendelea kusisitiza madaktari wawe na huruma na watanzania, warudi kuzungumza na serikali.

Wengine walisema, madaktari hawana huruma. wengine walisema mawaziri hawana huruma.

watendaji wako wameonesha hawana imaniu na wewe, na wamegoma kuingia kazini mpaka uondoke, unang'ania uwaziri umezaliwa nao? wewe waziri na madaktari walio chini yako tena hawakuamini, nani hana huruma?

HAMKUZALIWA NA UWAZIRI, HIVYO NI BORA MUACHIE NGAZI ILI KUEPUSAHA MAAFA YASIYO YA LAZIMA, UBUNGE WENU UNATOSHA. WATANZANIA WAELEWA, WANAJUA NINYI NDO VIKWAZO, LAKINI WATANZANIA WASIOELEWA WATADHANI MADAKTARI NDIO KIKWAKO. TUKIJA KWENYE UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA, KILA MWELEWA ANAJUA NANI KIKWAZO
 
Mi kuna kitu kimoja tu kinishangaza hapa unaowaongoza hawakutaki unaendelea kuwepo unafanya nyinyi. Nampa ushauri huyu Mkwele badae awatimue Madactari ili awajue watanzania. Yupo ka interest za mawaziri wake uchwara au za wananchi. Ivi na yule mama ilikuaje akawa naibu waziri jamani???????? sioni hata kigezo kimoja yeye yupo tu anafata bendera tu
 
Hii ni cost ya umangimeza Mawaziri na Kikwete wao hawajitambui kwamba wao ndio chanzo cha saga hii hatungefikia hapa leo
 
Mi kuna kitu kimoja tu kinishangaza hapa unaowaongoza hawakutaki unaendelea kuwepo unafanya nyinyi. Nampa ushauri huyu Mkwele badae awatimue Madactari ili awajue watanzania. Yupo ka interest za mawaziri wake uchwara au za wananchi. Ivi na yule mama ilikuaje akawa naibu waziri jamani???????? sioni hata kigezo kimoja yeye yupo tu anafata bendera tu

Tujikumbushe kidogo, wanaojua zaidi wataturekebisha.

1. Mwinyi alijiuzulu kwa madudu ya watendaji wake miaka ya huko nyuma.
2. Lowasa, Karamagi na Mramba, walijiuzulu kwa madhambi yao katika ofisi zao na madhambi ya watendaji waliokuwa chini yao.
sasa PONDA na NKYA, wanaona ugumu gani kuachia ofisi? wamezaliwa nazo? unawezaji kufanya kazi na watu wasiokuthamini?

AMA KWELI TANZANIA UKICHAGULIWA KUWA WAZIRI NI SHEREHE HIVYO KUIACHIA INAUMA SANA WAKATI NCHI KAMA CHINA UWAZIRI NI MZIGO, KIFO KWA KUNYONGWA NJE NJE. HILI NDO TATIZO LA HAPA KWETU
 
hii ni cost ya umangimeza mawaziri na kikwete wao hawajitambui kwamba wao ndio chanzo cha saga hii hatungefikia hapa leo

wanaimba utwala bora vinywani lakini matendo yanawashinda. Watendaji wako hawakutaki unawalazimisha wakutake/wakuthamini?
 
Naibu na Waziri wake ndio wenye makosa,madaktari hawana makosa.That is the short answer. Lakini sasa hivi something must be done to save the patients.
 
Back
Top Bottom