Madaktari/wauguzi wenye tabia ya kupiga picha za maiti wadhibitiwe kwa sheria kali

hii hali ni kama inakomaa,mgonjwa kafariki daktari anampiga picha,itafika siku watatupiga picha tukiwa uchi na tuko nusu kaputi,sheria itungwe haraka

Kwani umeona nini Mkuu? Alas..sheria zinatungwa kuwadhibiti maskini kama wewe na mimi.
 
Nafikiri wanaopiga picha na kusambaza ni ndugu au marafiki wa karibu (rejea picha za maitio ya kanumba zilizopigwa na kusambazwa na wasanii wenzake waliokuwa wamempeleka hospitali). Nyingine huwa zinapigwa kama kisasi kutokana na alivyokuwa anawafanyia watu mambo mabaya (rejea picha za kunyongwa kwa Sadam Hussein).
 
kwani ina madhara gani kwa kiongozi mkkubwa kupigwa picha akiwa amekufa
 
Inategemea mpiga picha alikuwa na lengo gani, kama ni kudharilisha hiyo haikubaliki, ila kama alipata ridhaa ya wanandugu basi hakuna shida.
 
Hebu weka ushahidi wa jina la daktari aliyepiga maiti picha na kusambaza...

La utakuwa unaudanganya umma kama huna ushahidi...

Hii hali ni kama inakomaa,mgonjwa kafariki daktari anampiga picha na kuzisambaza kwa watu.

Itafika siku watatupiga picha tukiwa uchi na tuko nusu kaputi.

Sheria itungwe haraka kudhibiti tabia hii.
 
Hii hali ni kama inakomaa,mgonjwa kafariki daktari anampiga picha na kuzisambaza kwa watu.

Itafika siku watatupiga picha tukiwa uchi na tuko nusu kaputi.

Sheria itungwe haraka kudhibiti tabia hii.

Toa Huu Upuuzi Hapa! Ivi Kuna Watu Wanaozingatia Ethics Za Kazi Madaktari Na Wauguzi? Ingekua Hivyo Mngekua Mnakutana Na Picha Za Ndugu Zenu Mitandaoni Kila Siku. Waharibifu Ni Ndugu Na Jamaa Wa Mrehemu. Unataka Sheria Ipi Itungwe Ambayo Haipo? Usiongee Kuchafua Taaluma Za Watu Kwa Hisia Zako.
 
Ila hii ya leo kweli siyo fair....Marehemu wanahitaji kupewa haki yao ya kuhifadhiwa!
 
huwezi amini picha ya marehemu komba akiwa kakata roho ninayo hapa
 
Back
Top Bottom