Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Masana pale yule bingwa marehemu akienda mwanamke ana mimba ya mwezi mmoja yeye anapima njia tena anaingiza vidole anachezea taratibu kwa dakika 10-15. Ataendelea kufanya hivyo kila ukienda clinic hadi miezi 9 ifike.
**** yote hoi
Hao watakuwa Madaktari wanaofanya kazi kwenye hospital zinazoendeshwa kihuni ,sidhani kama ukienda Aghakhan ,marie stope au Kitengule wakufanyie hivyo.
 
Masana pale yule bingwa marehemu akienda mwanamke ana mimba ya mwezi mmoja yeye anapima njia tena anaingiza vidole anachezea taratibu kwa dakika 10-15. Ataendelea kufanya hivyo kila ukienda clinic hadi miezi 9 ifike.
**** yote hoi

Doooh Basi huyo Mwanamke naye ni kilaza.
 
Nataka nikuambie watu wanachapa kama kawa...ngoja kwnza nikuambie madokta wana mbinu nyingi...anaweza akachapa kabla ya kuwaita hao manes au baada ya mgonjwa kupona ni jambo laini sana kwa madokta .....nakuambia ni madokta wachache sana wanaofata ethics lkn wengi wanashindwa na ukiangalia na wanawake wenyewe wa sasa walivyoumbika mtu anashindwa kbs ila sio madokta wote ni baadhi tu.
Si kweli aisee hujaingia hata huko chumba Cha operation Kuna vitanda vingi na operation mbalimbali zaendelea sasa anachapaje hapo
 
Wewe ni mbishi saana, na inaonekana umekulia mjini! Sio kote kunakuwa na wahudimu wengi, sehemu nyingine ni shidaa na wahudumu ni wachache
Shida wanaume mnalazimisha eti madaktari wanafanya wakati hamujawahi kwenda hospital even labour ward hamjui kukoje daktari ka anataks mahusiano atachukua contact mkubaliane nje ya kazi, sio hapo hapo hyo ngumu. Halafu wanaume hamjuhi jinsi watu wanasafishwa mnaforce kufanywa tu bila uhalisia
 
Waathirika wakubwa wa jambo hili ni wale wenye kwenda kutoa mimba.

Wanawekewa madawa ya kupoteza fahamu wanaingiliwa then utoaji mimba unaendele..

Hili suala lipo wala cyo siri
 
Shida wanaume mnalazimisha eti madaktari wanafanya wakati hamujawahi kwenda hospital even labour ward hamjui kukoje daktari ka anataks mahusiano atachukua contact mkubaliane nje ya kazi, sio hapo hapo hyo ngumu. Halafu wanaume hamjuhi jinsi watu wanasafishwa mnaforce kufanywa tu bila uhalisia

Kama una mume/mchumba pole yake,na kama huna kabisa badilika unless unataka kuwa mtawa
 
Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Wanafanya ila wapo wachache hawatoshi
 
Kama una mume/mchumba pole yake,na kama huna kabisa badilika unless unataka kuwa mtawa
Jipe pole wewe kwanza unahangaika na watu hilo tatizo, hafu una akili ndogo kwako mafanikio ni kuwa na wanaume ur useless creature
 
Miaka ya nyuma nilikua nakaa na bro wangu daktari..sasa nilikua nimelala chumbani baada ya kusoma sana, kushtuka usingizin nikaskia kuna maongezi yanaendelea kati ya bro na mwanamke. Nikajifanya nimelala siskii ila kiufupi yule mwanamke ni wa pale mtaani maana nilichungulia dirishani wakati anaondoka nikamuona.

Alikuwa kaja kumuomba bro ushauri kwamba alibakwa na daktari na akaelezea kwamba alikua anaona kila kitu kinachoendelea japo hakua na nguvu yoyote so sabab nilikuta maongezi katikati nikaelewa alipewa dawa kumlegeza.

Akasema anamsongo wa mawazo mno na alikaa zaidi ya wiki yupo kimya ila akashindwa ikabidi aje kuongea na bro maana hata mmewake alikua hajamwambia bado.

Ni story ndefu ila kiukweli haya mambo yapo na victims wanakua na wakati mgumu kusema. Unaweza itafuta makala flani ya kenya ya jicho pevu kuna daktari aliwekewa mtego wa camera ofisin kwake mtaona alivyokua anawala wagonjwa wanawake. Hata tabora mwaka jana ishu kama hii iliripotiwa
Hii story nimesimuliwa juzi jumanne na meti wangu aisee alinyanyaswa sana na dactari yan mmewake angejua sijui ingekuwaje sasa
 
Naona kuna watu wamekuja juu kama moto wa kifuu kusema madaktari wasichafuliwe...jamani kama Padre/shekhe anabaka au kukawiti who is daktari??? Nayeye ni binadamu na hayo mambo yapo na wanayafanya japo si wote,.Sasa wale wanaofanya ngono na maiti mochuari si ni kaliba hiyohiyo.??
 
Mleta mada akili kisoda, analeta stori za vijiweni, doctor hawezi attend a female patient bila chaperone.

Unajua maana ya chaperone??
Mzee imekuuma sana wakati tumeongelea wachache ambao hawafati ethics sasa hutaki tujadili , wakati tunatafuta uhalisia wa jambo au tunakuharibia tabia zako mbovu
 
Nilichogundua kuna watu wa aina tofauti wamechangia mada hii,ila nimepata attention zaidi kwa watu aina mbili,kwanza kuna madaktari au wenye ndugu madaktari,hawa wameingia ktk hii mada kwa lengo moja tu la kuitetea fani ya udaktari,pili ni wale ambao hawajawahi kukutana na kadhia za madaktari wasio na weledi hawa nao wameingia kutetea tu wasichokijua,Mimi niwe katikati tu kwamba wapo madaktari ambao bado wana weledi wa taaluma hii sana tu na wanajiheshimu kakini wapo madaktari ambao hawana weledi,hawa wanaweza kufanya chochote tu ili kutimiza malengo binafsi,mfano niliwahi kupewa story na secretary wetu ofisini kwamba ktk hangaika zake za kutafuta suluhisho la kupata mtoto aliwahi kwenda kwa doctor flani ambae ktk mishemishe za kujifanya anampima huko chini akawa anamsugua kisimi kiaina,Dada akagundua janja ya doctor akavaa akasepa na misonyo juu, lakini pia zipo simulizi nyingi tu za vituko vya madaktari duniani sioni sababu kwanini mtu abishe kana kwamba madaktari ni malaika ikiwa hao viongozi wa dini tu wanafanya mambo ya ajabu sembuse madaktari jamani?
 
Mimi Daktari,,,ni kweli anayosema mtoa mada ,huwa wanafanya hasa kwa wale wanaotaka kutoa mimba na sio walioharibikiwa na mimba maana aliyeharibikiwa sehemu haiwi safi.
Je wee hujawahi kufanya hilo?
 
Kuna mdada flani ni best yangu,na amenizoea na huwa ni muwaz Sana kwangu.kunasiku alienda hosp alikuwa anasumbuliwa na tumbo la kizaz,so alipoenda akaingia kwa dr. baada ya kujieleza Dr akamwambia kaa hapo ujisisimue uke,hadi utoe majimaji nichukue hayo maji kwa ajili ya vipimo.
ila m Dr wengine ni vimeo wallah, sijui msoto wa 5yrs unatibua some parts za medulla lol
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom