Madaktari waliookoa Uhai wa Tundu Lissu

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
yerickonyerere_BYwT2DGHxNX.jpg

Timu ya madaktari waliookoa uhai wa Mh. Tundu Lissu kwa huduma ya dharura wakiwa chini ya Dr. Mpoki (katibu mkuu W/ Afya) Dr. Mponda (Orthopaedic) Dr. Samwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan kitaeleweka tu ! hapo baba jesca anaumia leo kavua had miwani !dadek zake !tatizo Mungu ni mwingi wa REHEMA !angekuwa ni MUNGU WA VISASI! LEO bendera zingekuwa nusu mlingoti! angewaretisha in peace ikulu nzima !nyambaaafu
Nonsense
 
Kama hiyo ndio 'Theather' ya Hospitali ya Makao Makuu ya Nchi, kweli bado tuna kazi kubwa ya kuboresha mazingira ili yaendena na hadhi ya Makao Makuu ya Nchi yetu.
HONGERENI MADAKTARI NA WAUGUZI KWA JITIHADA ZENU ZA KUMWOKOA NDUGU YETU TUNDU LISSU.
 
Back
Top Bottom