Madaktari walio katika hospitali binafsi(Private Hospital)

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,483
2,000
Habari wana bodi,

Naomba kupata ufafanuzi kuhusu madaktari walio katika hospitali za watu binafsi kwa sababu wamekuwa ni kituko sana katika jamii linapokuja suala la kutoa huduma bora kwa wateja wao.
Hawa ndugu zetu wakati mwingine huwa wanafanya kazi kwa mazoea sana na si kwa uzoefu wala kwa utalaamu walio nao au huenda huwa wanakosa utalaamu katika kazi zao.

Siku moja nikiwa pale Sinza nilienda katika dispensary Fulani kwa nia ya kupata huduma ila cha kushangaza sikutamni tena nipate huduma katika ile dispensary kwa sabau ya uwezo mdogo wa kitabibu aliyouonesha yule jamaa. Hivyo basi bila kupepesa macho nikamuuliza kama yeye ni qualified Doctor au ni unqualified one. Sikujali kwamba angejisikia vibaya wala nini. Baada ya kumuuliza vile ilipelekea apaniki sana. Kutokana na kupaniki kwake nikagundua kuwa yule alikuwa siyo qualified Doctor bali ni unqualified.

Siyo Dispensary hiyo tu bali kuna dispensary nyingi sana hapa mjini Dar es salaam ambazo zimewaajiri watu ambao hawana sifa ya udaktari.

Kwanini mnanya hivyo nyie mnaowaajiri unqualified Doctors? kwa upande mwingine nyie ambao ni unqualified Doctor kwanini mnakubali kufanya kazi ambazo hamna sifa wala vigezo vya kufanya. hivyo? Hamuoni kwamba mnawadhalilisha wenye sifa zao?

Afya ni jambo la msingi sana. siyo la kulichukulia poa kabisa. Tumekuwa tukishuhudia mengi sana kuhusu nyie ambao mnafanya hizo kazi mfano unatakiwa kufanyiwa upasuaji wa kichwa ila unafanyiwa upasuaji tumboni n.k

Kwani nyie madaktari wenye sifa mmeshindwa kudhibiti hawa vishoka waonasumbua huku mtaani? Hakika kuna umhimu wa kuanzisha mfumo wa kielektroniki wa kumtambua daktari mwenye sifa na ambao ni vishoka ili kulinda afya zetu.

Je nyie mdaktari huwa manasajiriwa ukishahitimu masomo yako au inakuwaje? mfano wahasibu lazima wawe wamesajiri katika bodi yao na kwa wanasheria iko hivyo hivyo.

Karibuni kwa michango ili tupambane na vishoka huku mtaani.
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,167

Mkuu unaenda dispensary za chocho?!
Nilidhan labda ulienda hospital km Agakhan ukakuta vituko km hvyoo?!
Km dispensary ni kawaida.
Tofautisha hospitali na Zahanati.
Ww umeenda Zahanati lazima hayo ukutane nayo
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,564
2,000
Ili uwe na uhakika kuwa unatibiwa na daktari "professional" katika hizi zahanati na dispensary binafsi hakikisha ni yule uliyewahi kumuona, au huwa unamuona kwenye dispensary/vituo vya serikali na hapo anakuja kupiga part time vinginevyo utatibiwa Makanjanja (wapo wengi sana)
Nenda Malamba Mawili kuna zahanati moja yumo daktari feki anaitwa Dr. Nyoka, tulikuwa tunachimba madini wote, tulipoteana mwaka mmoja nilimkuta Dar akiwa daktari tayari!
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,483
2,000
Mkuu unaenda dispensary za chocho?!
Nilidhan labda ulienda hospital km Agakhan ukakuta vituko km hvyoo?!
Km dispensary ni kawaida.
Tofautisha hospitali na Zahanati.
Ww umeenda Zahanati lazima hayo ukutane nayo

Hata kama ni zahanati kwanini chama cha madaktari wanaruhusu vishoka kufanya kazi ambazo hawana sifa? hawaoni kwamba wanaidhalilisha profession yao?

Mkuu, wakati unatoa komenti yako hii umekumbuka kweli kwamba kuna watu ambao hawawezi afford kwenda kule Agakhan?

Point yangu kubwa ni kwamba Vishoka wazuiliwe wataua watu mtaani Mkuu.
 
Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
818
1,000
Ili uwe na uhakika kuwa unatibiwa na daktari "professional" katika hizi zahanati na dispensary binafsi hakikisha ni yule uliyewahi kumuona, au huwa unamuona kwenye dispensary/vituo vya serikali na hapo anakuja kupiga part time vinginevyo utatibiwa Makanjanja (wapo wengi sana)
Nenda Malamba Mwili kuna zahanati moja yumo daktari feki anaitwa Dr. Nyoka, tulikuwa tunachimba madini wote, tulipoteana mwaka mmoja nilimkuta Dar akiwa daktari tayari!
Aiseee..kwan hwa wakisha malizav vyuo huwa inakuwaje??
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,167
2,000
Hata kama ni zahanati kwanini chama cha madaktari wanaruhusu vishoka kufanya kazi ambazo hawana sifa? hawaoni kwamba wanaidhalilisha profession yao?

Mkuu, wakati unatoa komenti yako hii umekumbuka kweli kwamba kuna watu ambao hawawezi afford kwenda kule Agakhan?

Point yangu kubwa ni kwamba Vishoka wazuiliwe wataua watu mtaani Mkuu.
Nimekupata mkuu.
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,483
2,000
Ili uwe na uhakika kuwa unatibiwa na daktari "professional" katika hizi zahanati na dispensary binafsi hakikisha ni yule uliyewahi kumuona, au huwa unamuona kwenye dispensary/vituo vya serikali na hapo anakuja kupiga part time vinginevyo utatibiwa Makanjanja (wapo wengi sana)
Nenda Malamba Mwili kuna zahanati moja yumo daktari feki anaitwa Dr. Nyoka, tulikuwa tunachimba madini wote, tulipoteana mwaka mmoja nilimkuta Dar akiwa daktari tayari!

Kwani hawa madaktari hawana mfumo kama ule mfumo wa MJUE WAKILI WAKO?

Hawa wameshindwa nini kuanzisha mfumo mzuri wa kumtambua daktarin na kishoka?

Au wanapenda taaluma yao ichafuliwe na Vishoka?
 
abdi ally

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
1,565
2,000
Magonjwa yote dawa Ni zile zile na dosage Ni vile vile kwahyo kanjanja mzuri huto mkamata kirahis labda kwenye maswala ya upasuaji

Jingne symptoms za magonjwa meng hufanana kwahyo makanjanja inakuwa rahis kujua na ndio maaana weng wao huwa watu fasta sana nenda ukapime anajua ukiwa nae muda merefu utamhoji kiundani Zaid hapo huwa tatizo kidogo
 
:D :D :D :D :D :D :D :D wengine huwa wanaingi google kwanza ndiyo akupe ushauri.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Ili uwe na uhakika kuwa unatibiwa na daktari "professional" katika hizi zahanati na dispensary binafsi hakikisha ni yule uliyewahi kumuona, au huwa unamuona kwenye dispensary/vituo vya serikali na hapo anakuja kupiga part time vinginevyo utatibiwa Makanjanja (wapo wengi sana)
Nenda Malamba Mwili kuna zahanati moja yumo daktari feki anaitwa Dr. Nyoka, tulikuwa tunachimba madini wote, tulipoteana mwaka mmoja nilimkuta Dar akiwa daktari tayari!
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Hivi unawajua madaktari wewe
Hata kama ni zahanati kwanini chama cha madaktari wanaruhusu vishoka kufanya kazi ambazo hawana sifa? hawaoni kwamba wanaidhalilisha profession yao?

Mkuu, wakati unatoa komenti yako hii umekumbuka kweli kwamba kuna watu ambao hawawezi afford kwenda kule Agakhan?

Point yangu kubwa ni kwamba Vishoka wazuiliwe wataua watu mtaani Mkuu.
 
charrote

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
931
1,000
Kwa kifupi dispensary haiwezi kuwa na daktari itamlipa nini ? Unapima uti elfu tatu utamlipa nini daktari. Kaka hao unaokutana nao ni waganga au kwa kiingereza ni clinical assistant tena ni fresh from school.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Sasa jamaa anataka awe cared na mtu mwenye stress za maisha Raha jipe mwenyewe
Kwa kifupi dispensary haiwezi kuwa na daktari itamlipa nini ? Unapima uti elfu tatu utamlipa nini daktari. Kaka hao unaokutana nao ni waganga au kwa kiingereza ni clinical assistant tena ni fresh from school.
 
michibo

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
2,048
2,000
Yaani unaongelea dispensary halafu unataja daktari, wewe unaita ‘qualified doctor’....!! FatHead.
 
Opuk Jater

Senior Member
Dec 25, 2018
145
250
Magonjwa yote dawa Ni zile zile na dosage Ni vile vile kwahyo kanjanja mzuri huto mkamata kirahis labda kwenye maswala ya upasuaji

Jingne symptoms za magonjwa meng hufanana kwahyo makanjanja inakuwa rahis kujua na ndio maaana weng wao huwa watu fasta sana nenda ukapime anajua ukiwa nae muda merefu utamhoji kiundani Zaid hapo huwa tatizo kidogo
Tiba haijawa rahisi kiasi hicho....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom