Madaktari wakataa msaada wa Serikali kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka

Jumuiya ya madaktari Tanzania imekataa msaada wa serikali kwa ajili ya kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka Stephen.
Msemaji wa wizara ya Afya Nsachris Mwamwaja jana alisema serikali ilikuwa tayari kugharamia matibabu ya kiongozi huyo wa madaktari lakini msaada wao ulikataliwa.Alisema walizuiwa na madaktari ambao waliitaka serikali ikae mbali kabisa na matibabu ya Dr Ulimboka.Alisema kitendo hicho kiliihuzunisha sana serikali.
Ndani ya saa 24 watanzania kwa mshikamano na umoja wa hali ya juu wamechanga zaidi ya shilingi milioni 63 kiasi ambacho kilihitajika kumpeleka Dr Ulimboka nje ya nchi kujaribu kuokoa maisha yake.

Source:Mwananchi Jumapili.

Safi sana madaktari,asanteni sana Watanzania kwa kuonyesha mshikamano wenu kwa Mtanzania(Dr Ulimboka)mwenzenu masikini Kama ninyi.
 
Mkuu nilimsikia siku ile PM akijichanganya kwa swali la Mbowe kuhusu Ulimboka.Ilibaki kidogo tumsikie akisema "Shikamoo kiongozi wa kambi ya upinzani" Kujichanganya kule kunaonyesha kipigo cha Dr alikielewa mapema kabla hakijatokea ila hakudhani kitakuwa kibaya kwa kiasi kile
hahahaaa SHIKAMOO KAKA JAMBAZ oops SHIKAMOO MZEE WA Meee
 
Jumuiya ya madaktari Tanzania imekataa msaada wa serikali kwa ajili ya kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka Stephen.
Msemaji wa wizara ya Afya Nsachris Mwamwaja jana alisema serikali ilikuwa tayari kugharamia matibabu ya kiongozi huyo wa madaktari lakini msaada wao ulikataliwa.Alisema walizuiwa na madaktari ambao waliitaka serikali ikae mbali kabisa na matibabu ya Dr Ulimboka.Alisema kitendo hicho kiliihuzunisha sana serikali.
Ndani ya saa 24 watanzania kwa mshikamano na umoja wa hali ya juu wamechanga zaidi ya shilingi milioni 63 kiasi ambacho kilihitajika kumpeleka Dr Ulimboka nje ya nchi kujaribu kuokoa maisha yake.

Source:Mwananchi Jumapili.[/QUOTE
Pesa hiyo waitumie kununulia mashine ya CT Scan .
 
Mhe waziri mkuu ooh sorry mh spika nimesahau kumbe mimi ndio pm mwenyewe; ofcourse nimesikitishwa sana na hawa doktaz kukataa contribution ya serikali, binafsi namheshimu sana dokta ulimboka ila aahh mmhh oooohhh hili suala lipo mahakamani
mh. Pm, sasa mbona mmewafukuza ma dr. wakati swala lipo mahakamani?
 
Watu wanajificha nyuma ya ubua kukwepa risasi!Tume yanini wakati Dr Ulimboka kaishaanza kuwatambua wahusika nakuomba walet nasimu yk?
 
Watamfuata huko huko wakammalize mimi sina imani kabisa kama atarudi na akili timamu lazima wamvuruge ubongo wake chezea kina na nii wewe
 
Safi sana Drs hakuna kulala mpaka tone la mwisho wananchi tumechoka na huduma mbovu kisa wao wanatibiwa nje. Tupo pamoja mashujaa wetu
 
safi sana doctors,mnazidi kunidhihirishia kwamba mko well organized.Lingine mkulu akiwaita mwambieni awafuate,msiende kunywa juice tena
 
Mmh jamani, kwani majeraha yake hayawezi kutibika hapa Tanzania? Hizo pesa zilizochangishwa zitumike katika shughuli nyinginezo za kuboresha sekta ya afya kwa manufaa ya MTz. Si ndio lengo

Jumuiya ya madaktari Tanzania imekataa msaada wa serikali kwa ajili ya kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka Stephen.
Msemaji wa wizara ya Afya Nsachris Mwamwaja jana alisema serikali ilikuwa tayari kugharamia matibabu ya kiongozi huyo wa madaktari lakini msaada wao ulikataliwa.Alisema walizuiwa na madaktari ambao waliitaka serikali ikae mbali kabisa na matibabu ya Dr Ulimboka.Alisema kitendo hicho kiliihuzunisha sana serikali.
Ndani ya saa 24 watanzania kwa mshikamano na umoja wa hali ya juu wamechanga zaidi ya shilingi milioni 63 kiasi ambacho kilihitajika kumpeleka Dr Ulimboka nje ya nchi kujaribu kuokoa maisha yake.

Source:Mwananchi Jumapili.
 
Kuna watu wanasema wajinga wanapokuwa na tatizo husahau tatizo la Msingi na kudhani kwamba kwa yeye kupata tatizo ahurumiwe zaidi kuliko wengine

Natamani sana ningekuwa mmoja wa watu waliompiga Ulimboka, kwa nini nitaeleza.

Natamani sana kuwaona Mama Nkya na Kijobisimba wanaadhirika kwa kupokea hivyo vijisenti na kumuona Ulimboka ni shujaa na kutetea uhai wake wakati yeye kasababisha maelfu ya Watanzania kufariki kwa kuwaongoza wenzake kwenye mgomo wa Madaktari

Ulimboka mikono yake na mikono ya Madaktari wenzake aliowaongoza kugoma inatoka damu pamoja na roho zao. wametoa na wanaendelea kutoa damu za watu wasio kuwa na hatia maskini wasiokuwa na mbele wala nyuma.

Wameamua kudai kuongezewa mishahara na marupurupu kwa kutoa roho za watu leo mnasema Ulimboka ni shujaa??? ni kweli ni shujaa wa kutoa roho za watu nami nasema atarudi akiw kwenye jeneza watamfukia kama nilimzika Babu yangu na Mjomba wangu ambao walikufa kwa sababu ya kutopata huduma baada ya kupata ajali kisha???? ULIMBOKA kawaongoza wenzake kugoma na wanakwenda kutibu kwenye Hosoitali za watu binafsi kwenye watu fedha Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, na ndugu zetu. sasa leo watu wasiokuwa na akili timamu wanasema eti Ulimboka ahurumiwe kwa lipi?

Mkuu sijakusoma
 
Pole sana kwa mtazamo wako bwana /bi Wasengesenge
 
Mkuu nilimsikia siku ile PM akijichanganya kwa swali la Mbowe kuhusu Ulimboka.Ilibaki kidogo tumsikie akisema "Shikamoo kiongozi wa kambi ya upinzani" Kujichanganya kule kunaonyesha kipigo cha Dr alikielewa mapema kabla hakijatokea ila hakudhani kitakuwa kibaya kwa kiasi kile

Hapo kwenye blue nimecheka sana.Kwa kweli siku ile PM inaonekana alikuwa bungeni kimwili tu akili yake ilikuwa mbali sana hasa akisubiria majibu ya vijana wa kazi.
 
Back
Top Bottom