Madaktari wakataa mrejesho toka kwa rais Kikwete na wawakilishi wa madaktari; Mgomo unanukia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wakataa mrejesho toka kwa rais Kikwete na wawakilishi wa madaktari; Mgomo unanukia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 9, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source ITV Habari

  Madaktari wamekataa ufafanuzi na majumuisho ya serikali hatma ya mgomo ni baada ya wiki mbili then mgomo
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Vipi wanataka mwinyi ajiuzulu?

  Madr walikuwa zamani bwana, enzi hiyo myu kumaliza MD ni issue, watu kibao wanarudi home!

  Sio sasa kila kijichuo tu kinatoa MD, hakuna Dr. tena kuna wachoma sindano!
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wacha kejeli kama hujui umihimu wa daktari ugua then ukifika mlango wa hospitali toa hizo kashfa zako
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,676
  Trophy Points: 280
  hapa ndipo chuki yawafanyakazi dhidi ya ccm inpoota mizizi
   
 5. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Posho yao itaongezwa mwaka 2015 lakini sio sasa!!
   
 6. m

  mwarain Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu ya madaktari hao serikali imekataa kuongeza chochote kwenye mshahara wa madaktari hao ila watapandishiwa nyongeza yao sawa na wafanyakazi wengine wote! pia posho za mazingira hatarishi au mazingira magumu hawatapewa! Nadhani JK hana upendo na Watz kwani mgomo unanukia baada ya wiki 2
   
 7. D

  Determine JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jk yupo?
   
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,676
  Trophy Points: 280
  nimesikia mgomo ujao utahusisha kada zote za afya.serikali imezoea utani.yaani hiyo negotiating team ilipewa sitting allowance za bure tu!

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  hivi tulitegemea nini, serikali mufilisi, watatoa wapi pesa?
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JK ni zaidi ya Janga la Kitaifa!
   
 11. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ai Juzi AU imemkatalia kusoma ripoti kwa kuandamwa na madeni. Sasa kama AU iko hivi huko anakokimbilia si ndo wamemchoka square
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa dawa si mgomo tu, ni kuingoa ccm basi.
   
 13. B

  Bob G JF Bronze Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ilitarajiwa serikali hii ya ccm isingeweza kutimiza yale waliyokubaliana na Madaktari, Tutarajie mgomo mwingine tena,
   
 14. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,676
  Trophy Points: 280
  nchi hii ni tajiri sana bali viongozi wake wamefilisika kiakili.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 15. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Leo hapakuwa na wiziri wa afya Jangwani?
   
 16. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,676
  Trophy Points: 280
  sidhani kama afya ni kipau mbele cha ccm.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Mungu atusaidie...
  Maana wao wanatibiwa India....
  Sie walalahoi tumekwisha...............
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mgomo unarudi tena.ni upuuzi kwa serikali kushindwa kushughulikia madai haya kwa muda wa miezi sita.
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapo sasa bora madaktari wagome na kule Zanzibar Uamsho waendelee kuleta zengwe mpaka huyu JK achanganyikiwe maana hana vipaumbele katika taifa lake nikikumbuka gharama za sherehe za miaka 50 ya uhuru nazidi kuuchukia utawala wa Kikwete
   
 20. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kama jk atalegea hadi mgomo mwingine utokee itakuwa balaa ni bora aachie madaraka watu wengine
   
Loading...