Dr.Chichi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 2,394
- 631
Hivi, Tanzania ina madaktari wangapi ambao wanatoa huduma ya kuangalia binadamu (Full MD siyo Medical Assistants au Medical Officers)? Na kati ya hao ni wangapi HAWAKO Dar-es-Salaam wako mikoani?
ndugu,MD mkoani ni wachache sana,nani ataenda kufanya kazi masasi au sehemu nyingine iliyo remote,hamna umeme,hamna maji,miundo mbinu mibovu,mishahara na posho kupata ni mgogoro?nchi zingine the further from town you work the more they pay you,hii inaleta motisha ya kufanya kazi