Madaktari wagoma - Wakaidi amri ya mahakama, wasema watafia jela

inamaana serekali iliwahadaa hawa madaktari walipoafikiana kwenye vikao vyao kuwatekelezea madai yao kitu kinachowapelekea warudi tena kwenye mgomo shame to this gvt
 
hii serikali ya ajabu sana! yaani kukimbilia mahakamani inategemea mgono kuisha?!
wodi ya watoto(Peads):hakuna vifaa vya kuongezea maji/damu (cannula), hakuna mitungi ya gas( Oxygen cylinder) and the same applies to wodi ya kina mama(OBGYN)
Medical ward n MOI: Wagonjwa wanalala chini
Radiology:CT scan mbovu mwezi wa saba sasa, hivyo inahitajika kwenda Regency kwa gharama zaidi...kisa wizara inadaiwa mil.800/=Tshs na holder wa CT scan!! sekta ya afya tunategemea umtibu mtu apone na sio ku_address wagonjwa wakatafute dawa nje...watu wana bima lakini hakuna madawa.. basic drugs, worse inakuwa pale kwenye resuscitation(life saving drugs i.e Adrenaline)....hakuna, na chache zilizopo they are out of date(expired)!!! hapa mnasemaje tusigome?!
kilichobaki ni kupiga picha na videos kisha kuweka mtandaoni muelewe tunaongelea nini!!
 
Matatizo ya Dunia siyo ufisadi. Ufisadi sio tatizo la msingi. Tatizo ni kwamba, a world is born,it is spit out from a nebula,for a few billion years it cools down,and then it is plagued by earthquakes,volcanoes,hurricanes,and then life begins,and Man has to struggle with nature,which is mainly the work of the scientists. Matatizo ya ufisadi ni matatizo superflous,lakini siyo matatizo ya msingi.
 
hii serikali ya ajabu sana! yaani kukimbilia mahakamani inategemea mgono kuisha?!
wodi ya watoto(Peads):hakuna vifaa vya kuongezea maji/damu (cannula), hakuna mitungi ya gas( Oxygen cylinder) and the same applies to wodi ya kina mama(OBGYN)
Medical ward n MOI: Wagonjwa wanalala chini
Radiology:CT scan mbovu mwezi wa saba sasa, hivyo inahitajika kwenda Regency kwa gharama zaidi...kisa wizara inadaiwa mil.800/=Tshs na holder wa CT scan!! sekta ya afya tunategemea umtibu mtu apone na sio ku_address wagonjwa wakatafute dawa nje...watu wana bima lakini hakuna madawa.. basic drugs, worse inakuwa pale kwenye resuscitation(life saving drugs i.e Adrenaline)....hakuna, na chache zilizopo they are out of date(expired)!!! hapa mnasemaje tusigome?!
kilichobaki ni kupiga picha na videos kisha kuweka mtandaoni muelewe tunaongelea nini!!

Fanya hivyo kiongozi watanzania wengi vipofu wa kuona hata kusikia
 
piga picha watu waone na kusikia.ni muda wa kuonyesha ukweli wote sasa.
 
Iwapo madaktari hawapewi haki zao basi serikali yetu dhaifu iturudishie kikombe cha babu!!

VIGOGO+1.jpg
rrrrrrr.jpg
images
Picha ya kati, huyu jamaa wa kushoto vipi? mbona dawa inamwasha.
 
hii serikali ya ajabu sana! yaani kukimbilia mahakamani inategemea mgono kuisha?!
wodi ya watoto(Peads):hakuna vifaa vya kuongezea maji/damu (cannula), hakuna mitungi ya gas( Oxygen cylinder) and the same applies to wodi ya kina mama(OBGYN)
Medical ward n MOI: Wagonjwa wanalala chini
Radiology:CT scan mbovu mwezi wa saba sasa, hivyo inahitajika kwenda Regency kwa gharama zaidi...kisa wizara inadaiwa mil.800/=Tshs na holder wa CT scan!! sekta ya afya tunategemea umtibu mtu apone na sio ku_address wagonjwa wakatafute dawa nje...watu wana bima lakini hakuna madawa.. basic drugs, worse inakuwa pale kwenye resuscitation(life saving drugs i.e Adrenaline)....hakuna, na chache zilizopo they are out of date(expired)!!! hapa mnasemaje tusigome?!
kilichobaki ni kupiga picha na videos kisha kuweka mtandaoni muelewe tunaongelea nini!!

Wachembi watakuelewa kweli. Maana unatia huruma sana. Pole daktari. Ila, Mimi siji hospitali, naogopa nisijepata sindano ya cyanide, Maana najua Dactari sasa utakuwa umekasirika.
 
Ahaaaaaa! Kumbe wao wamekunywa kikombe so wanauhakika wa kutoumwa ndo maana hawajali mgomo wa madaktari na pia bado wana uhakika wa kutibiwa India. Na ndo maana juzi badala ya kuwaongezea maslahi madaktari wameamua kujiongezea wenyewe toka mil. 7 hadi 10. Du, Ee mungu tunaomba 2015 ije haraka.

Mkuu si bora ingekuwa ni kikombe ambacho kisingecost kodi zetu tunazolipa, ni kwamba wana uhakika wa kwenda kutibiwa India kwa gharama za waTz wanaokufa kwakunyimwa haki yao na serikali dhaifu inayoongozwa na serikali dhaifu
 
kadri mda unavyosonga mbele ndivyo tunavyozidi kuona vimbwanga kati ya serikali na madaktari.sasa madaktari wameamua kuweka hadharani madhambi ya serikali.wameamua kuwaambia wananchi ukweli kwa nini huduma za afya ni mbovu.una mfano huu hapo chini halafu pitia blogs mbalimbali ujionee
hii serikali ya ajabu sana! yaani kukimbilia mahakamani inategemea mgono kuisha?!
wodi ya watoto(Peads):hakuna vifaa vya kuongezea maji/damu (cannula), hakuna mitungi ya gas( Oxygen cylinder) and the same applies to wodi ya kina mama(OBGYN)
Medical ward n MOI: Wagonjwa wanalala chini
Radiology:CT scan mbovu mwezi wa saba sasa, hivyo inahitajika kwenda Regency kwa gharama zaidi...kisa wizara inadaiwa mil.800/=Tshs na holder wa CT scan!! sekta ya afya tunategemea umtibu mtu apone na sio ku_address wagonjwa wakatafute dawa nje...watu wana bima lakini hakuna madawa.. basic drugs, worse inakuwa pale kwenye resuscitation(life saving drugs i.e Adrenaline)....hakuna, na chache zilizopo they are out of date(expired)!!! hapa mnasemaje tusigome?!
kilichobaki ni kupiga picha na videos kisha kuweka mtandaoni muelewe tunaongelea nini!!
 
hii serikali ya ajabu sana! yaani kukimbilia mahakamani inategemea mgono kuisha?!
wodi ya watoto(Peads):hakuna vifaa vya kuongezea maji/damu (cannula), hakuna mitungi ya gas( Oxygen cylinder) and the same applies to wodi ya kina mama(OBGYN)
Medical ward n MOI: Wagonjwa wanalala chini
Radiology:CT scan mbovu mwezi wa saba sasa, hivyo inahitajika kwenda Regency kwa gharama zaidi...kisa wizara inadaiwa mil.800/=Tshs na holder wa CT scan!! sekta ya afya tunategemea umtibu mtu apone na sio ku_address wagonjwa wakatafute dawa nje...watu wana bima lakini hakuna madawa.. basic drugs, worse inakuwa pale kwenye resuscitation(life saving drugs i.e Adrenaline)....hakuna, na chache zilizopo they are out of date(expired)!!! hapa mnasemaje tusigome?!
kilichobaki ni kupiga picha na videos kisha kuweka mtandaoni muelewe tunaongelea nini!!

vitani daima mbele kurudi nyuma mwiko. wanaokufa kwa matatizo ulioorodhesha ni wengi tena sana, tunawakombojea hawa ni kwa kupigania haki za msingi za wagonjwa kupata huduma bora kwa muda muafaka kwa pamoja tuibane serikali.
 
Hivi V8 za serikali zina faida gani? Hivi kumpa mbunge 10million na mwalimu laki mbili ni haki? Tunajisahau mno. Tunajitafuna wenyewe na mwisho tutavunja amani hii. Sidhani hata machifu wetu walikuwa wabinafsi namna hii. Inaonekana hata mkoloni afadhali.
 
Huo ndio ukweli ama wanaficha maslahi yao. Naona wameanza kuingiza siasa ndani ya mgomo kujenga hoja kwa wananchi. Ukweli mwisho utajulikana tu. Sisi wengine twatizama ligi yao.
 
Mkuu inaonekana hujaenda hospitali kwa muda mrefu, siyo?
Au labda hapo ulipo huduma iko poa, siyo? Sasa usichoamini hapo ni kitu gani?!
 
Huo ndio ukweli ama wanaficha maslahi yao. Naona wameanza kuingiza siasa ndani ya mgomo kujenga hoja kwa wananchi. Ukweli mwisho utajulikana tu. Sisi wengine twatizama ligi yao.

Mkuu pamoja na kuboreshiwa maslahi yote nisawa na sahihi, Ili wafanye kazi kwa ufanisi hawa jamaa wanahita kitu kinachoitwa peace of mind sielewi vema kiswahili chake naomba radhi. Hakuna spea ya uhai, akikosea kufanya operation kwa frastration ukafa imetoka, usicheze na uhai ndugu yangu. Mbona wakiboresha hayo yote soote tutanufaika mkuu, hata ndugu zetu kule Tabora vijiji kizengi, loya na lutona watafaidi keki ya taifa japo kiduchu.
 
Sasa mbona waziri wa afya siku ile Bungeni hakugusia kabisa mapungufu ktk hiyo hospital badala yake alizungumzia madaktari wanadai maslahi yao tuu!
 
Kama hayo kweli yapo, kwa nini msingegoma toka mwanzo kwa ajili ya kupatiwa hivyo vifaa? Badala yake mnadai hayo baada ya kuona kuwa mngegoma kwa ajili ya maslahi yenu tu msingeeleweka. Madaktari acheni kuua watu na badala ya kuendelea na mgomo wa kipuuzi, sasa mrudi kuchapa kazi.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Kiukweli serikali inatafuta huruma ya wananchi kwa kuweka mbele madai ya maslahi ya madaktari huku wakiweka pembeni madai ya kuboreshwa huduma kwa ujumla. Inatambua kabisa kwamba madai yote yakiwekwa hadharani itatokea crisis kutoka kwa wananchi ambao hasa ndio wanaoumia zaidi ktk sakata hili. Huu ni mchezo wa karata tatu, kumchafua mwezio ili ushinde wewe, simple mathematics!
 
Hebu pigeni hizo video fasta mtuanike maana hii serikali
inaona kama mnajali matumbo yenu kumbe si kweli ebu fanyeni hima tuone kweli nyie mnafanya migomo ya kisomi then kama vipi
mzipeleke hizo video kwenye international organisation za habari kama BBC ili waone udhaifu wa mkulu.
 
Back
Top Bottom