hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
Wapendwa Rejea kichwa cha habari kinaeleza wazi,madaktari wa chuo kikuu cha AFYA na mazingira Muhimbili wanalenga kuifuta fani ya ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE ya degree.Sababu kubwa na utetezi wa haya ninayoaandika pale kuandikisha idadi ndogo ya wanakwenda kuanza chuo ni idadi ndogo sana na mbaya zaidi wanachukua wale wanaotoka fresh from school.kwa mwaka huu kama sijakosea wameandikisha wanafunzi wasiopungua 31 darasa zima ,kama mnataka hivyo basi msitanga katika vyombo vya habari kuwa mnataka wanafunzi.Na siamini kabisa kama wataalam hao hawahitajiki katika Halmashauri zetu na maeneo mbali mbali hususani kwenye taasisi za umma.