Madaktari wa chuo kikuu Muhimbili na mpango wa kuua kada ya afya ya mazingira

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Wapendwa Rejea kichwa cha habari kinaeleza wazi,madaktari wa chuo kikuu cha AFYA na mazingira Muhimbili wanalenga kuifuta fani ya ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE ya degree.Sababu kubwa na utetezi wa haya ninayoaandika pale kuandikisha idadi ndogo ya wanakwenda kuanza chuo ni idadi ndogo sana na mbaya zaidi wanachukua wale wanaotoka fresh from school.kwa mwaka huu kama sijakosea wameandikisha wanafunzi wasiopungua 31 darasa zima ,kama mnataka hivyo basi msitanga katika vyombo vya habari kuwa mnataka wanafunzi.Na siamini kabisa kama wataalam hao hawahitajiki katika Halmashauri zetu na maeneo mbali mbali hususani kwenye taasisi za umma.
 
Chadema tena???? Hahahaaa duuh ndio maana hujachaguliwa huna sifa hata kidogo kwa uandishi huo.
Wapendwa Rejea kichwa cha habari kinaeleza wazi,madaktari wa chuo kikuu cha AFYA na mazingira Muhimbili wanalenga kuifuta fani ya ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE ya degree.Sababu kubwa na utetezi wa haya ninayoaandika pale kuandikisha idadi ndogo ya wanakwenda kuanza chuo ni idadi ndogo sana na mbaya zaidi wanachukua wale wanaotoka fresh from school.kwa mwaka huu kama sijakosea wameandikisha wanavyuo wasiopungua 31 darasa zima ,kama mnataka hivyo basi msitanga katika vyombo vya habari kuwa mnataka wanafunzi,hii ni mbinu inayosukwa kwa utaratibu wa chade ma.
 
Sawa wewe badala ya kwwnda kusoma Immunology au Parasitology unakomaa Na coz za kike...
Hizo ndude hazina umuhim kiivyo wala uhitaji wake c Mkubwa Sana...
Think outside the box acha lawama kijana
 
Kwa ujumla suala la ENVIRONMENTAL ni shida popote linapotamkwa. Unajua ENVIRONMENTAL ni concept pana na inamgusa kila mmoja na hivyo kila mmoja alipaswa ajione yeye anaweza kufanya nini katika sehemu yake.

Mfano kama wewe ni engineer, tena mechanical engineer lazima ujue moshi wa mshine unaathiri vipi environment. Kama wewe umeajiriwa sehemu kama WAZO HILL pale kiwandani lazima ufahamu hali ya production na lile vumbi la ile cement.

Sidhani kama kitendo cha kucimba shimo la takataka eti linahitaji msomi katika level ya Muhimbili.

NInazungumza haya kwa sababu tumeyaona kwenye sehemu za kazi. Ulizia popote ambako kampuni au taasisi ilipoanzisha department ya ENVIRONMENTAL management, lazima utakuta kuna vurugu. Kwanza ni kama vile ama haina kazi au watu hawajui inafanya nini.

Ni kwa sababu kiukweli kila eneo linaguswa na ENVIRONMENTAL ethics na hivo hhuhitajikuwa na ENVIRONMENTAL EXPERTS. Hivyo ENVIRONMENTAL people ni kama vile wako jobless.

Taabu ni kwamba wanajijua kwamba wako jobless na hivyo makazini wanajitutumua ili kuonekana na ikibidi wanafanya hivyo kwa vurugu. Matokeo yake wanapuuzwa na ikibidi wanaonyeshwa kwamba hawahitajiki.

Mazingira hayaharibiwi na bacteria tu kama vile jalalani. Mazingira ni kama nilivyotaja, ni concept pana inayomhusu kila mmoja na pollution ziko za aina nyingi.

Hivyo wakiifuta hiyo course ukweli ni kwamba iakuwa jambo la maana sana kwa sababu karibu kila chuo kinayo. Ukienda ARDHI UNIVERSITY nayo iko, tena Bsc. Viko vyuo vinatoa hata Bachelor Of Arts in ENVIRONMENTAL, sasa ndipo uone kwamba suala la ENVIRONMENTAL dunia imeliparamia na mwisho inakuwa ni vituko tu.

Ndiyo maana USA walikataa hata kusaini ile TOKYO ACCORD kwa sababu kama hizihizi.
 
Aisee..
Unaifahamu vizuri kozi yenyewe lakini?
 
Hivi kuuliza si ujinga kuna tofauti gani kati ya Environment science ya Sua na Environment Heath na muhimbili
 
kuna kpnd fani ya dental surgery ilikua inadahiri wanafunzi wasiozid ishirin lakin ipo mpk leo na itaendelea kuwepo..mkuu kama umekosa MUHAS kwasababu wamedahili watu wachache kwe fani hiyo kaa chini angalia unafanyje....
 
Environmental health science deals with preventing environmental factors (physical, chemical &biological ) that could affect the health of human beings
 
Sawa wewe badala ya kwwnda kusoma Immunology au Parasitology unakomaa Na coz za kike...
Hizo ndude hazina umuhim kiivyo wala uhitaji wake c Mkubwa Sana...
Think outside the box acha lawama kijana
hahahaaa yeah you may be right hasa ukilinganisha na coz zngne MUHAS but public health ni kitu cha muhimu sana
 
Kwa ujumla suala la ENVIRONMENTAL ni shida popote linapotamkwa. Unajua ENVIRONMENTAL ni concept pana na inamgusa kila mmoja na hivyo kila mmoja alipaswa ajione yeye anaweza kufanya nini katika sehemu yake.

Mfano kama wewe ni engineer, tena mechanical engineer lazima ujue moshi wa mshine unaathiri vipi environment. Kama wewe umeajiriwa sehemu kama WAZO HILL pale kiwandani lazima ufahamu hali ya production na lile vumbi la ile cement.

Sidhani kama kitendo cha kucimba shimo la takataka eti linahitaji msomi katika level ya Muhimbili.

NInazungumza haya kwa sababu tumeyaona kwenye sehemu za kazi. Ulizia popote ambako kampuni au taasisi ilipoanzisha department ya ENVIRONMENTAL management, lazima utakuta kuna vurugu. Kwanza ni kama vile ama haina kazi au watu hawajui inafanya nini.

Ni kwa sababu kiukweli kila eneo linaguswa na ENVIRONMENTAL ethics na hivo hhuhitajikuwa na ENVIRONMENTAL EXPERTS. Hivyo ENVIRONMENTAL people ni kama vile wako jobless.

Taabu ni kwamba wanajijua kwamba wako jobless na hivyo makazini wanajitutumua ili kuonekana na ikibidi wanafanya hivyo kwa vurugu. Matokeo yake wanapuuzwa na ikibidi wanaonyeshwa kwamba hawahitajiki.

Mazingira hayaharibiwi na bacteria tu kama vile jalalani. Mazingira ni kama nilivyotaja, ni concept pana inayomhusu kila mmoja na pollution ziko za aina nyingi.

Hivyo wakiifuta hiyo course ukweli ni kwamba iakuwa jambo la maana sana kwa sababu karibu kila chuo kinayo. Ukienda ARDHI UNIVERSITY nayo iko, tena Bsc. Viko vyuo vinatoa hata Bachelor Of Arts in ENVIRONMENTAL, sasa ndipo uone kwamba suala la ENVIRONMENTAL dunia imeliparamia na mwisho inakuwa ni vituko tu.

Ndiyo maana USA walikataa hata kusaini ile TOKYO ACCORD kwa sababu kama hizihizi.
Nafikiri environmental health ya Muhimbili inawahusu zaidi mabwana/ mabibi afya na wanahusika zaidi na usafi wa mazingira ili kuzuia milipuko ya magonjwa kama kipindupindu n.k. Unayoiongelea wewe ya Ardhi, ni uhifadhi wa mazingira kutokana na uchafuzi unaosababishwa na viwanda n.k.
 
Ni kweli kabisa umefafanua
 
Mie siamini kwamba hao mabwana/bibi Afya hawana kazi, ukitaka kujua umuhimu wao patokee magonjwa ya milipuko (outbreaks ) na pia wanahusika zaidi na viashiria vyote vya milipuko ya magonjwa na usafi wa mazingira.Kuna mwaka mmoja,makamu wa rais Omary Ally Juma (marehemu)aliwaondoa kazini kisa hakuna walichokuwa wanafanya,haikumaliza wiki 2,milipuko Dar kila kona ikabidi huyo huyo atangaze tena kuwarudisha kazini na malipo juu.Mchango wao upo japo matokeo yake ni ya mda mrefu (long term impacts) ndo maana Mchango wao hauonekani kwa walio wengi.pia miji yetu inaboreka katika usafi kwa sababu wako kazini. Nimefika Arusha wiki 2 zilizopita nimefurahi sana kwa usafi wake.
 
Sawa wewe badala ya kwwnda kusoma Immunology au Parasitology unakomaa Na coz za kike...
Hizo ndude hazina umuhim kiivyo wala uhitaji wake c Mkubwa Sana...
Think outside the box acha lawama kijana
we umesomea nini? fani yako ni ipi?
 
Nafikiri environmental health ya Muhimbili inawahusu zaidi mabwana/ mabibi afya na wanahusika zaidi na usafi wa mazingira ili kuzuia milipuko ya magonjwa kama kipindupindu n.k. Unayoiongelea wewe ya Ardhi, ni uhifadhi wa mazingira kutokana na uchafuzi unaosababishwa na viwanda n.k.
Ni kweli kabisa umefafanua

Mkuu, alichofafanua nadhani nimekiongelea na kusema environmental ni issue pana mno na haimhusu mtu mmoja au section moja tu. Kwa ujumla ni kwamba bila pollution hakuna aspect yoyote ya environmental, iwe health, mechanical, environmental.

GEneral concept ni kwamba hawana kazi na si kwamba hawana kazi bali ni kwamba kila mtu akielimishwa pollutants wa eneo lake basi ni kweli hawahitajiki. Hivi lile vumbi la pale WAZO HILL linahitaji mtaalamu kutoka ARDHI au MUHIMBILI. Hivi Mercury inapounguza miili ya watu kule migodini inahitaji wataalamu hawa.

Hata huko maofisini kuna vumbi unapopekua mafaili. HIli ni suala la kumwelimisha mtu kwamba weka mask puani

Ukicheza utakuwa unafyatua degree za environmental kutoka kila sekta yaani medicine, engineering, geology, aeronautics, marine.

NImeeleza jinsi mizozo ilivyo kazini na kampuni zenye department inayohusika na environmental imekuw aikigombana na section nyingi maana ni kweli hazijulikani zinaongeza nini ambacho wewe usiyesomea hukijui.

OK. Jamaa mmoja hapa chini anasema ilifikia Makamu wa Rais, hayati Omar Ali Juma aliwaondoa. Utaona muelekeo ni uleule yaani kichwani kuna question mark inauliza "hivi hawa kazi yao ni nini wakati kazi wanazofanya zinaweza kufanywa na wengine".

Kama magonjwa ya mlipuko yalitokea eti kwa sababu walifukuzwa hawa, hivi ni nani hajui kwamba usitupa takataka karibu na nyumbani au karibu na chanzo cha maji.

Achilia mbali huyo Makamu wa Rais aliyefariki miaka mingi iliyopita. Mwaka juzi (2015), Waziri wa Mazingira, yaani Ummy MWalimu alipozidiwa alitoboa siri na kusema suala la "mazingira" ni suala "mtambuka". Mimi nilikuwa sijui maana ya neno "mtambuka" na kwa sababu mimi ni mfuatiliaji wa environmental issues nikafunua dictionary na kuona kumbe anasema kama mawazo yangu, kwamba "environmental is a cutting cross issue" yaani huwezi kusema iwe specific kwa fani fulani tu.

Huhitaji mtaalamu kutoka Muhimbili aje akufundishe kufagia uwanja wako asubuhi. Shuleni tulikuwa tunawahi kila siku kufagia uwanja. Huhitaji mtaalamu wa mazingira kukufudisha kuosha vyombo au kunawa mikono kwa sabuni baada ya kula.

Huhitaji mtaalamu huyo kuweka malori ya kusomba takataka mitaani. Huhitaji mtaalamu kukataza mtu kukojoa ovyo au kutupa karatasi huku na huko. Hizo ni tabia ambazo zikisisitizwa ni kweli hawa watalaamu hata hawahitajiki. Kwa ujumla mazingira ni usafi tu na kila kitu kiko humo.

Mie siamini kwamba hao mabwana/bibi Afya hawana kazi, ukitaka kujua umuhimu wao patokee magonjwa ya milipuko (outbreaks ) na pia wanahusika zaidi na viashiria vyote vya milipuko ya magonjwa na usafi wa mazingira.Kuna mwaka mmoja,makamu wa rais Omary Ally Juma (marehemu)aliwaondoa kazini kisa hakuna walichokuwa wanafanya,haikumaliza wiki 2,milipuko Dar kila kona ikabidi huyo huyo atangaze tena kuwarudisha kazini na malipo juu.Mchango wao upo japo matokeo yake ni ya mda mrefu (long term impacts) ndo maana Mchango wao hauonekani kwa walio wengi.pia miji yetu inaboreka katika usafi kwa sababu wako kazini. Nimefika Arusha wiki 2 zilizopita nimefurahi sana kwa usafi wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom