MADAKTARI WA AFRIKA KUSINI WATENGENEZA KONDOM ZA KIKE ILI KUWAKOMESHA WABAKAJi

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,310
2,000A South African doctor has created a female condom that puts teeth in the fight against rape.
The Anti-rape condom, called "Rape-aXe," features rows of jagged hooks designed to attach to a man's penis during penetration. Once attached, the condom can only be removed surgically, Dr. Sonnet Ehlers, the condoms designer, told CNN.

Ma-Daktari wa Afrika Kusini wameunda kondomu za kike na wameweka meno katika Kupambana dhidi ya ubakaji.
Kondomu Anti-ubakaji, inayoitwa "Ubakaji-Axe," makala safu ya kulabu maporomoko iliyoundwa na ambatanisha na mwanamme wakati wa kupenya. Mara baada ya masharti, Ukimuingilia mwanamke kwa nguvu uume wako hautoki kwenye hiyo kondomu na inaweza tu kuondolewa kwa upasuaji, Dk Sonnet Ehlers, kondomu designer, aliiambia CNN.

NINATAMANI KONDOM HIZO ZIJE NCHINI TANZANIA ILI KUPUNGUWE SUALA LA UBAKAJI NCHINI KWETU HONGERA KWA

HUO UBUNIFU.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,310
2,000
Kwa muktadha huu ina maana wanawake watakuwa wanavaa hii kitu muda wote ready kwa kubakwa at any time siyo?
Wawake watakuwa wanazivaa hizi Kondom wakati wanapotoka nje ya sehemu zao wanazoishi wakikamatwa na wabakaji basi kazi kubwa itakuwa hao wabakaji wakijaribu kuwaingilia basi hilo Dushelele la wabakaji litakamatwa na hayo meno yalipo ndani ya hizo Kondom na huwezi kutowa mpaka uende hospitali.
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152

Bila kuathiri dhana ya ubakaji kisheria mwanamke aliyevaa hii kitu ni mhalifu wa kijinsia kwa kuwa tayari ameshajifunga mabomu akitaraji shambulio,kifungu kidogo cha sheria hii ya uhalifu wa kijinsia ni kwamba mhusika(mwanamke) anaweza kushambulia pale hisia zitakapomtuma kuna hatari mbele yake (of which haipo)! Huyu mvumbuzi anastahili kufikishwa kizimbani kwa kutengeneza what i may call 'legalized wepon' ova...
 
Inaonyesha wewe pia unaunga mkono ubakaji? kwa mantiki ya maneno yako wewe pia utakuwa mmoja wapo wanaounga mkono mambo ya ubakaji samahani kwa kukwaza ikiwa nitakukwaza.Mimi ninaunga mkono huyo aliye unda hizo Kondom ili suala la ubakaji lipunguwe kidogo kila kukicha wanawake wanabakwa kwanini iwe hivyo mambo ya ubakaji?
 
Mkuu hujanikwaza...uwe na amani...nimejaribu kuhusisha hii kitu na matumizi ya silaha almaarufu vitu vyenye ncha kali...sina hakika kama tunastahili kukoki bastola zetu pasi kuona adui! Ni must uhisi hatari ndipo ukoki kisha uwe makini kwenye trigger tu...ndo maana najaribu kufikiria uvaaji wa hii kitu bila mbakaji kuwepo eneo la tukio! Hilo mosi,mbili najiuliza kama kweli hii kitu ina exist na ina meno haiwezi,beyond doubt kumwumiza beholder? Samahani lakini...
 
lowale

Senior Member
Aug 10, 2012
192
225
Sijaelewa vizuri jamani je hiyo penis itabakia kwenye uke au itatoka na hiyo penis
 
moto2012

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
2,269
2,000
Inaweza ikatumika vibaya, mvaaji anaweza kutumia kama chombo cha kudhalilishia wanaume. Upatokanaji wake upoje?
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,873
2,000
Sijaelewa vizuri jamani je hiyo penis itabakia kwenye uke au itatoka na hiyo penis
  • Inatoka na kidubwasha/ cndm kikiwa kimemkamata
Wawake watakuwa wanazivaa hizi Kondom wakati wanapotoka nje ya sehemu zao wanazoishi wakikamatwa na wabakaji basi kazi kubwa itakuwa hao wabakaji wakijaribu kuwaingilia basi hilo Dushelele la wabakaji litakamatwa na hayo meno yalipo ndani ya hizo Kondom na huwezi kutowa mpaka uende hospitali.
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Inaonyesha wewe pia unaunga mkono ubakaji? kwa mantiki ya maneno yako wewe pia utakuwa mmoja wapo wanaounga mkono mambo ya ubakaji samahani kwa kukwaza ikiwa nitakukwaza.Mimi ninaunga mkono huyo aliye unda hizo Kondom ili suala la ubakaji lipunguwe kidogo kila kukicha wanawake wanabakwa kwanini iwe hivyo mambo ya ubakaji?

Mkuu huoni kuwa kuna wengine wanaweza kuitumia kuwakomoa hata wapenzi wao wakiamua.!??
 
matembele

JF-Expert Member
Nov 4, 2009
323
195A South African doctor has created a female condom that puts teeth in the fight against rape.
The Anti-rape condom, called "Rape-aXe," features rows of jagged hooks designed to attach to a man's penis during penetration. Once attached, the condom can only be removed surgically, Dr. Sonnet Ehlers, the condoms designer, told CNN.

"Ubakaji-Axe," makala safu ya kulabu maporomoko iliyoundwa na ambatanisha na mwanamme wakati wa kupenya. Mara baada ya masharti,

Hiyo translation hapo mkuu???
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
kwanini mpaka litokee tendo la ubakaji?.bora wangetengeneza kitu cha kumzuia/kumchelewesha mbakaji kuifikia papuchi.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,458
2,000
"Ukiziba mbele, tunazibua nyuma"...bila shaka hii ndio itakuwa kauli mbiu mpya ya hao mafirauni.

Mara nyingi binadamu wabaya huwa hawakosi mbinu mbadala ambazo huwa ni mbaya zaidi.
 
bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Shida ya binadamu wengine ukiweka geti wanaruka ukuta,sasa hapa ndipo tabu zinapoanzia kwakweli...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom