Madaktari tushaurini upya juu ya matumizi ya kondom! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari tushaurini upya juu ya matumizi ya kondom!

Discussion in 'JF Doctor' started by GAZETI, Jun 6, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,563
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Habarini ndugu zangu wana JF, kuna hii hoja naileta hapa jamvini kwani imekuwa ikinitia mashaka. Matangazo kuhusu kondom yamekuwa mengi tena yenye kutia matumaini. Kwa kawaida watu wanapotaka kukutana kimwili huzingatia sana usafi. Mara nyingi hulazimika kunyoa sehemu za siri. Je iwapo wote watakuwa wamenyoa na tunavyofahamu system zetu za unyoaji hasa vijijini uwezekano wa kujikata ni 100% na wakakutana kimwili hii si sababu nyingine ya uwezekano wa watu kuambukizana ukimwi hata kama watakuwa wanatumia kondom? Labda hiyo kondom itengenezwe kwa mfumo wa chupi yaani unaivaa kama chupi. Je si vizuri sasa tukashauriwa kupunguza Ma***v***z kwa kutumia mikasi badala ya nyembe?. Naombeni mawazo na majibu yenu kwa hili.

   
 2. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unaloongea ni kweli khs hiyo michubuko lakini pia nnachojua mimi hiyo dawa ya penzi(condom) SI kinga ya ukimwi NI kinga ya mimba.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo kwenye RED 100% u are right! dawa ya ukimwi si condom ni kuachana na Uzinzi .
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hizi ishu full utata,we jilinde kama wewe usimwangalie wala kumuamini mwenzako.kuhusu hiyo michubuko inayotokana na kushave mavuzi sina uhakika sana ila naona vigumu kuupata unless majeraha yenu yawe makubwa.mwenye full data atuambie jamani
   
 5. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kondom ikitumika ipasavyo itakuepusha na ukimwi, wengine wanasema kunyoa ni hatari coz sometimes mavuzi yanatoboa condom.
   
 6. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,563
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama unavyozungumza ni Full utata kuna hilo la kushave pia wale wanaoongezewa damu, kwa kawaida tunapima baada ya miezi mitatu Toka kipimo cha awali. sasa mtu kauchukua usiku wa kuamkia leo na leo ndo anatakiwa atoe damu, hivi inakuwaje damu yake akipewa mgonjwa ambaye ni mzima? Nafikiri tunatakiwa kuelimishwa upya.
   
 7. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ...Nitoe mchango wangu kidogo. Ni ukweli kuwa Condom haizuii UKIMWI kwa asilimia 100% naamini hakuna mtu anwaeza kuthibitisha vinginevyo(Kumbuka hata kuzuia mimba sio 100%). Lakini kinachofahamika na tayari imethibitika ni kuwa Condom ikitumika ipasavyo inauwezo mkubwa wa kuzuia maambukizi ya UKIMWI . Cha muhimu sana hapa, na sijui kwa nini hapa nchini tunapuuzia, ni neno ''IKITUMIKA IPASAVYO''. kUTUMIA CONDOM NI MCHAKATO sasa lazima uwe sahihi mf. je ime expire au la, imetunzwa wapi, mvaaji ameivaa sahihi, yaani amehakikisha chuchu haijajaa hewa, hajaigeuza na hajaongeza lubricant isiyotakiwa (maana inashauriwa kama ni lubricant basi iwe KY Gel au SK 70.....sasa haya na mengine amabyo pengine siyafahamu ndiyo yatakamilisha mchakato. lakini nitoe ushauri, tayari imethibitika kuwa kwa kutahiriwa mwanaume anapunguza hadi 60% uwezekanao wa kuambukizwa VVU through sex; hivyo nadhani ukiongezea na ''koti'' juu yake utakuwa SALAMA zaidi!
   
 8. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ok we nan hilo la mavuzi kutoboa condom sidhan kwasab hizi nyele mbona laini sana isipokuwa nnachojua nimewahi kupewa somo kuwa condom zimeudwa kwa kualtanate matirial zake(yaani zimetengenezwa kwa kupishanisha hizo material responsible kwa utengenezaji wa hizi mipira) kwahivyo kuna vijitundu vinapatikana kwenye condom ambavyo ukifananisha ukubwa wake na wa virus huyu anko kirusi ni mdogo zaidi kwahivyo kama yupo arround anapita zake bila kizuizi af pia kuna swala lingine kuwa hii kondom kadri inapotumika pale ground mchezoni kwenye joto inapanuka kwahivyo pia kuna mda wake wa kutumika condom moja na baada ya hapo utoe ubadilishe uvae nyingine hivi hilo game likianza kuna mtu anakumbukaga kubadili ts y kwa upande wangu niko dailema na hii dawa ya penzi(condom) ambayo wengi wetu tunaiamini!!!!!!!?
   
 9. U

  UNIQUE Senior Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukilinganisha virus wa hiv na matundu yaliyo kwenye condom ni kama wewe unavyopita mlangoni! Condom inazuia michubuko tu na si virus kupita. Hivyo basi ukiwa na mchubuko ama kidonda chochote virus wanapita kama kawaida. Hta ungevaa condom 100 virus anapita. Hivyo basi fanya mara moja tu tenasiyo kila siku utaukwaa!
  Unique
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,563
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa sijakuelewa vizuri, ina maana unaweza kuvaa kondom halafu isipasuke na bado ukaupata?
   
 11. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa uelewa wangu mdogo naomba niongee kwa herufi kubwa KONDOMU HAIZUII VIRUSI VYA UKIMWI KUPENYEZA KWENYE KONDOMU YENYEWE. Kwahiyo mkubwa gazet kwa hapo we unaonaje!
   
 12. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,563
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Utata mtupu!
   
 13. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,563
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  Madaktari wetu kama mpo vipi hili la nyongeza ya damu. Tunaomba ufafanuzi
   
Loading...