Madaktari Sita kutoka Misri wawasili nchini kusaidia matibabu Muhimbili.


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
[h=3][/h]NA MAGRETH KINABO – MAELEZOJumla ya madaktari sita na wataalamu wawili, mmoja wa teknolojia na mwingine wa utawala kutoka Misri wamewasili nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya upasuaji wa tundu ndogo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dare es Salaam.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa madaktari hao.


“Madaktari hawa watasaidia kutoa tiba na kuwafundisha madaktari wetu utaalamu huu, hivyo ujio wao utasaidia kupunguza gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaotakiwa kwenda nje ya nchi,” amesema Dk. Mwinyi.Ameongeza kuwa madakatari hao watakuwepo katika hospitali hiyo kuanzia Juni 10 hadi 15, mwaka huu kwa ajili ya kutoa huduma hizo. Dk. Mwinyi aliushukuru ujio huo kwa kuwa utasaidia kubadilishana uzoefu na teknolojia na kuboresha afya ya Watanzania.Kwa upande wake, Balozi wa Misri nchini Tanzania, Hossam Omar alisema ujio wa madaktari hao ni kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta hiyo, ambapo watauendeleza katika maeneo mengine ya sekta hiyo na nyingine.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145

Matatizo ni MADAKTARI au ni kuwatunza MADAKTARI wetu kuwapa MISHAHARA MINONO; MARUPURUPU; SERIKALI kununua Vyombo BORA HOSPITALINI

Na sio kuleta Madaktari toka nje ambao wanaweza kuwa sio BORA kama wakwetu... na tutawalipa hao wa nje Mishahara Minono Majumba mazuri...
 
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,726
Likes
395
Points
180
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,726 395 180
NA MAGRETH KINABO – MAELEZOJumla ya madaktari sita na wataalamu wawili, mmoja wa teknolojia na mwingine wa utawala kutoka Misri wamewasili nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya upasuaji wa tundu ndogo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dare es Salaam.

Huo ugonjwa wa tundu ndogo ni ugonjwa wa moyo?
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Likes
17
Points
135
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 17 135
miaka 50 ya uhuru bado tunaomba madaktari kutoka nchi za nje kweli ukistaajabu ya musa..... kwa sasa nchi yetu ilitakiwa iwe na wataalu waliojitosheleza kwa kila nyanja lakini ndio kwanza tunaimba wataaalam kutoka nje ya nchi tukiwa na rasilimali nyingi za wataalam ambao hatuwaandalii mazingira ya kuwawezesha kusoma na kupata utaalamu wa kuweza kusaidia taifa. kinachobaki ni bla bla tu na kuwa omba omba ni aibu sana kwa taifa letu.
 
Kingo

Kingo

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2009
Messages
827
Likes
191
Points
60
Kingo

Kingo

JF-Expert Member
Joined May 12, 2009
827 191 60
miaka 50 ya uhuru bado tunaomba madaktari kutoka nchi za nje kweli ukistaajabu ya musa..... kwa sasa nchi yetu ilitakiwa iwe na wataalu waliojitosheleza kwa kila nyanja lakini ndio kwanza tunaimba wataaalam kutoka nje ya nchi tukiwa na rasilimali nyingi za wataalam ambao hatuwaandalii mazingira ya kuwawezesha kusoma na kupata utaalamu wa kuweza kusaidia taifa. kinachobaki ni bla bla tu na kuwa omba omba ni aibu sana kwa taifa letu.
Mkuu sio madaktari tu, bali hata walimu wa sayansi. Tumemsikia mkuu wa kaya akiomba kutoka Japan, just baada ya miaka 50 ya uhuru. Yaani tunaomba kuanzia pesa hadi rasilimali watu!
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
5,773
Likes
1,266
Points
280
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
5,773 1,266 280
Huo ugonjwa wa tundu ndogo ni ugonjwa wa moyo?
laparascopic surgery, kiswahili ni lugha unayoweza kuandika mambo ya ajabu kama wewe ni kanjanja. ni bora hata angeandika upasuaji kwa kutumia kamera
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
5,773
Likes
1,266
Points
280
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
5,773 1,266 280
I guess... nadhani tuna hao ma-specialist KIKWETE alisema alikuwa anapeleka Madaktari Nje kimya kimya Nje Kusoma -- Sasa hawakurudi? ndio wanakimbilia WaMisri?
ukiangalia gharama zilizotumikakuwaleta hao madaktari unanunua vifaa kwa ajili ya laparascopic surgery kwa hospitali zote za zonal referals
 
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
459
Likes
94
Points
45
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
459 94 45
Vp hawa madaktari hawatoleta Uarabu!!?
 
M

MpendaTz

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
1,695
Likes
176
Points
160
M

MpendaTz

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
1,695 176 160
Hapa si bure kuna uchafu umejificha! Siamini kuwa its a genuine visit. Kama ni kubadilishana mawazo basi wawkaribishe na Madaktari wetu waende huko kwao. Huu ni upuuzi wa kisiasa. Mwinyi anadhani watanzania wa leo ni wajinga kama yeye kwa kukubali huo ujinga ndani ya miaka 50 ya Uhuru?
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Na huku zanzibr pia kuna wagonjwa,hao madokta watatu waje kutibu na huku.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280

Matatizo ni MADAKTARI au ni kuwatunza MADAKTARI wetu kuwapa MISHAHARA MINONO; MARUPURUPU; SERIKALI kununua Vyombo BORA HOSPITALINI

Na sio kuleta Madaktari toka nje ambao wanaweza kuwa sio BORA kama wakwetu... na tutawalipa hao wa nje Mishahara Minono Majumba mazuri...
Madaktari wa kwetu ni wazuri sana ila maskini wanakosa vifaa sahihi vya kufanyia kazi. Sasa hao Wamisri wakondokaa wataacha hivyo vifaa vya upasuaji au wataondoka navyo? Hata kuomba walimu kutoka nje sina uhakika kama ni ufumbuzi wa tatizo lililopo.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,273,480
Members 490,421
Posts 30,482,840