Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

Mazungumzo ya nini? imekuwa ngoma ya kitoto ambayo ni kutingishiana kiberiti? serikali ya wapi iko hivyo kwa kuwasamehe tu waende kwanza JKT huko watawatibu Raia bila malipo ndipo wajue TZ itajengwa na wenye MOYO sio wanaokimbilia 7.7m
mm sishauri mazungumzo bora wakatafute maisha bora nje ya nchi huko kuna maslahi bora kuliko hapa RUKSA
 
kuna taarifa nimezipata kuwa madaktari na serikali wataanza mazungumzo ya kina mapema wiki ijayo.hii imekuja baada ya maombi ya madaktari kutaka mazungumzo ya dhati na serikali.
Napenda kuwapongeza madaktari kupitia kamati yao kuruhusu meza ya majadiliano pamoja na machungu ya kutekwa,kuteswa na kuumizwa kwa dr ulimboka.nategemea serikali itakuwa makini ili kumaliza mgogoro huu.
Ikumbukwe kuwa mgomo wa madaktari haujaisha kama tulivyoaminishwa na vyombo vya habari na pia kuna wimbi kubwa la madaktari kukimbia nchi na kutafuta maslahi bora hasa baada ya mgogoro huu wa muda mrefu.

Swala hili case closed long time ago. Rais ameshasema asiyetaka aondoke sasa sijui wanataka nini tena hawa madaktari wakati milango ipi wazi hamna atakayewazuia Airport.
 
mkuu hivi hujui kama kuna mgomo wa specialist kukataa kuwasupervise interns watarajiwa?

Kwa nini wangoje hao intern mpya ndio wagome? Wamepewa ruksa ya kuondoka watumie nafasi hii kuondoka kwa heshima wasisubiri kufukuzwa.
 
mgogoro humalizwa na mazungumzo na si vinginevyo.

Chezea serikali wewe! Si walijifanya wajanja na kamgomo wao? Si ndo hawa hawa walijifanya kukataa majadiliano? Si ndo hawa hawa waliojifanya kuwa na msimamo juu ya maslahi yao? Si ndo hawa walokataa mapendekezo ya serikali na kuanzisha mgomo? Si hawa hawa walioamua kugoma kuokoa maisha ya watanzania kwa kujali zaidi maslahi yao? Nauliza ni serkali ipi wanayotaka kufanya nayo mazungumzo? Si hii ambayo hawana imani nayo? Wacha chezea serikali wewe.. Leo hii baada ya kuona kuwa hawana impact kubwa kama walivyodhani wanaomba wenyewe mazumgumzo. Kwenda zao kule JK alishafunga ukurasa waende zao Botswana, sisi tutatibiwa na sangomas na kuombewa makanisani. Shame on them doctors of TZ. MAT -_ UAMSHO
 
hata ukitibiwa kwa sangoma au kuombewa kanisani ni lazima uende hospitali na utakutana na hawa hawa MAT UAMSHO
 
Tunadanganyana tuu hapa, kesi ipo mahakamani na selikali ilishafanya conclusion ya kuwanyang'anya leseni ila wajifunze na next month new interns imeshakula kwao wao si waligoma waendelee kugoma na wanaotaka kwenda nje waende mambo yatakwenda tuu na wanaendelea kupata ugumu mtaani

Unaonekana hujawahi kuugua au kuuguliwa ukafika kwenye hospitali zetu, unaonekana upo kishabiki, kinafiki na kisiasa zaidi na hujui unachokisema na umekurupuka!! Unajua ni gharama kiasi gani imetumika kuwatrain hawa madr?? Ulishatathmini ni kiasi gani itaichukua serikali yako 'dhaifu' kutrain madr wengine kama hawa(consider na time)??? Nchi yoyote itakaowachukua itakuwa imegain brain ambazo haijazigharamia, kwao ni faida kubwa, kwetu sisi mabwege watanzania ndo tutabaki kila cku na ratio ya 1:30,000. Halafu unajiita mwanaharakati mkweli, Nadhani unastahili kuitwa 'MWENYEHARAKA MKURUPUKAJI'
 
maombi ya dhati ya madaktar!!!!! Au njaa na ugumu wa maisha? Vipi kuhusu kuhamia ughaibun? Jk pongezi zako, walitaka kutikisa kiberiti.
 
jaman hivi hamjui haturuhusiwi kuzungumzia suala hili bkoz liko MAHAKAMANI...?TUSIVUNJE SHERIA TULIACHE TU KAMA BUNGE LINAVYOTUDANGANYA SIKU ZOTE..
 
uzalendo ni pale ambapo wananchi na serikali yako hawakujali? pale ambapo unaona mgonjwa akilala sakafuni na kufa kama mnyama jalalani kwa ajili ya ukosefu wa vifaa na dawa usio na sababu? ni kuona jinsi mtoto wako pia akiwa na njaa nyumbani na kushindwa kumjibu mke wako mtakula nini kesho? ni kutishiwa maisha yako na serikali na wananchi wenzio ukitaka kutatua hilo? TUMIA KICHWA KUFIKIRIA! SIO KUVALIA KOFIA! daktari yuko trained kutoa huduma ya kiafya KWA BIAADAMU, ndio kiapo chake kinavyomwambia, kwa hiyo haijalishi wapi anatibu, cha muhimu ni kuwa anatibu, iwe namibia au tanzania..... NA ikiletwa hoja ya kuwa eti wamesomeshwa na pesa ya watanzania, kwanza wamekopeshwa, na wanakatwa kila mwezi, pili wao pia ni watanzania, ni haki yao kama wazawa kupata elimu kama mtu yoyote! kwani ukimlisha mtoto wako inakuwa ni deni? wakati mimba inatengenezwa kwani mwanao alishirikishwa kwenye starehe zenu?
 
Chezea serikali wewe! Si walijifanya wajanja na kamgomo wao? Si ndo hawa hawa walijifanya kukataa majadiliano? Si ndo hawa hawa waliojifanya kuwa na msimamo juu ya maslahi yao? Si ndo hawa walokataa mapendekezo ya serikali na kuanzisha mgomo? Si hawa hawa walioamua kugoma kuokoa maisha ya watanzania kwa kujali zaidi maslahi yao? Nauliza ni serkali ipi wanayotaka kufanya nayo mazungumzo? Si hii ambayo hawana imani nayo? Wacha chezea serikali wewe.. Leo hii baada ya kuona kuwa hawana impact kubwa kama walivyodhani wanaomba wenyewe mazumgumzo. Kwenda zao kule JK alishafunga ukurasa waende zao Botswana, sisi tutatibiwa na sangomas na kuombewa makanisani. Shame on them doctors of TZ. MAT -_ UAMSHO
kweli nchi yetu iko mbali sana na maendeleo ya ukweli! manake Mwalimu J. K. Nyerere alishasemaga - adui mkubwa kuliko wote kwa binadamu ni upumbavu! kama mtanzania mwenyewe haelewi mabadiliko yanayotakiwa kufanyika ili kuwanufaisha watanzania wote kwa ujumla, mabadiliko yatawezekana kweli? Nchi yetu itaendelea kuwa ni uwanja wa kutumiwa na OPOPRTUNISTS ( wanasiasa wetu, wawekezaji wa nje n.k.....) mpaka hapo ambapo watu kama SWEEPER watakapoweza kufunguliwa macho ama kukalishwa kimya kwa manufaa ya WENGI! Yaani afya bora kwa kila mtanzania sio priority ya juu kabisa jamani?
 
Kuwa na nywele kichwani haimaanishi kuwa una uwezo wakufikiri

Back
Top Bottom