Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
1583598929875.jpeg

Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa.

An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his medical team so much they bowed in reverence on the day of his death.

Selfless Liang Yaoyi, a gifted student from Shenzhen, China, died from the tumor last June - his mother can also be seen crying in the background of the poignant snap.

Liang was diagnosed with the disease aged nine after feeling dizzy one day. Soon after he tragically learned he had brain cancer .

But despite the bleak prognosis and before passing away Liang told his mother, Li Qun, that he wanted to donate his organs.
 
View attachment 1380087

Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Alipokata roho jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa.

An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his medical team so much they bowed in reverence on the day of his death.

Selfless Liang Yaoyi, a gifted student from Shenzhen, China, died from the tumor last June - his mother can also be seen crying in the background of the poignant snap.

-
Liang was diagnosed with the disease aged nine after feeling dizzy one day. Soon after he tragically learned he had brain cancer .

But despite the bleak prognosis and before passing away Liang told his mother, Li Qun, that he wanted to donate his organs.
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni sahihi katika jicho la kisheria/ common sense kwa mtoto wa umri huo kufanya maamuzi ya aina hiyo (au maamuzi yoyote mengine).

Au amedhulumiwa na kulaghaiwa tu hao madokta au ndugu wa mgonjwa!?

Anyway, ya ngoswe tumuachie ngoswe.
 
Rights of a child says “a child’s wish is significant “. Hata wazazi wanapotengana mtoto ana uhuru wa kuongea wish yake ni mzazi yupi angependa kuishi nae . Hii ni kuanzia miaka 8.
 
Back
Top Bottom