Madaktari na kuwachungulia wanawake......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................

Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!
 
Mficha uc.hi hazai, sasa wewe kwenye check-up ulitegemea nini?? Hujui mficha maradhi..kifo humuumbua??
Waachie bana wafaidi kwa macho, ila wakijaribu kukubaka, chukua hatua.
 
Ah dr wengine nao wamezidi tena utakiona cha moto ukiwa na mimba ndio utachezea vidole mpaka useme hiki nini.....
 
We unafikiri atafanyaje physical examination asipovua nguo?

Inaonekana hujawahi kufanyiwa general body checkup
 
Mficha uc.hi hazai, sasa wewe kwenye check-up ulitegemea nini?? Hujui mficha maradhi..kifo humuumbua??
Waachie bana wafaidi kwa macho, ila wakijaribu kukubaka, chukua hatua.

kwanza habari yako....pili nilikumiss....tatu hiyo avatar umeifanyaje mbona inaninanihii....?
 
Nackia mwanamke anaweza kwenda anaumwa kichwa akaambiwa vua nguo tukupime....
 
Lakini ukifuatilia vizuri daktari mwanaume akiamuru mwanamke avue nguo kwa ajili ya uchunguzi zaidi basi ni lazima muuguzi wa kike awepo,ila kama hatokuwepo basi huyo daktari ana lake jambo...Hii ni kutokana na kanuni za maadili katika afya.Je,wakati rafiki yako anavua nguo alikuwa na daktari pekee yake au na muuguzi? Hilo ndilo la kujiuliza
 
Kuna wanaotoa mimba bila kupokea hela ila kwa ahadi ya kupewa ngono baada ya kazi kukamilika!
 
Kama unashaka unaruhusiwa kuomba nurse wa kike awepo wakari wa examination hio.
 
Lakini ukifuatilia vizuri daktari mwanaume akiamuru mwanamke avue nguo kwa ajili ya uchunguzi zaidi basi ni lazima muuguzi wa kike awepo,ila kama hatokuwepo basi huyo daktari ana lake jambo...Hii ni kutokana na kanuni za maadili katika afya.Je,wakati rafiki yako anavua nguo alikuwa na daktari pekee yake au na muuguzi? Hilo ndilo la kujiuliza

Muuguzi atoke wapi, lini hayo maadili yameanza kufuatwa?
 
Hata gari likienda full service nilazima lichunguliwe chini
 
madaktari wa zamani walikuwa na maadili ya kutosha haikuwa jambo rahisi daktari kukutongoza, wa sasa hivi sijui vizuri, labda tumuulize mamamdogo.
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................

Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!

Mkuu sasa unataka nini, kama vipi jigeuze jinsia yako au nenda na tatizo linalohusiana na 'masaburi' yako ili ukaguliwe si unataka kukutana na hilo. Kumbuka pia wanawake ni wepesi wa kutoa dukuduku zao, sio kama wanaume.

Like charges repel, unlike charges attract.
 
binafsi siamini katika hillo la kutuchungulia wanawake., mfano mdogo tu wewe unaumwa malaria iweje uambiwe panda kitandani uvue nguo na ukakubali? unless na wewe uwe una hamu ya kuchunguliwa. lakini kama umeenda una tatizo linalohusiana na viungo vy auzazi ukitakiwa kuvua nguo inaweza kuwa na uwiano, kwa hiyo tusiwakashifu bure madaktari
 
kuna wanawake wanaenda hospitali.hawataki kabisaa madaktari wa kike
yeye ni madaktari wa kiume tu....huku kajipamba mno...na kulegeza macho....
halafu msivuliwe nguo kwa nini??????/
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................

Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!

Bora kuchunguliwa, ataingizwaingizwa vidole humo mpaka basi!! wengine wanapenda hivyo! na akitoka humo hawezi kusema amefanyiwa nini! kwakweli kwenye hili huwa kuna kuwa na siri kubwa kati ya Dr. na muhusika.

Sasa Imagine wewe nawe ni Dr. halafu mkeo anaenda fanyiwa hivyo, nina hakika utakuwa na wakati mgumu sana sababu unajua anaenda fanyiwa nini na usikute maDr. wengi sana ni mnafahamiana.
 
Back
Top Bottom