mt meru waligoma?
Nawapongeza kwa ujasiri wa kurudi kazini
Mkuu moun meru hawakugoma.ikumbukwe hata tarifa ya pm pinda alisema hayo wakati akitaja mikoa na hospto ambazo hazikuingia kwenye mgomo.pia nathibitisha walikua kazini.tatizo ni huduma zao kua mbovu zaidi.lakn hilo tumelizoe pale mount meru
migomo ni mhimu sana hasa pale kunapokuwa na kutokusikilizwa. wanaorudi wamenunuliwa/kurubuniwa na kwamba watangaze kwenye tv kuwavunja moyo wanaharakati wa mgomo. hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke!!!
Wanajifanya waungwana kwa Serikali, Wenzao wanaojitoa Muhanga wakifanikiwa nao watataka wawe kwenye kundi la Nyongeza ya hela. Watanzania bana! Wengi wametawaliwa na unafiki tu
Wadau, nakiri nimeiona habari hiya katika ITV usiku huu mwisho mwisho - madaktari wakiwa na maafisa wa polisi na wa JWTZ katika mkutano na mmoja wa hao madaktari akielezea umuhimu walioona wa kurudi kazini, akisema serikali inashughulikia suala lao na hapo hapo kuwalaumu madaktari wengine waliogoma.
Nauliza jee walilazimishwa kuripoti au walikwenda kwa hiari yao?
Aliyeoona habari hiyo in full atujuze hapa.