Madaktari mnapotuandikia dawa semeni kama inaendana au haendani na vitu vingine mfano pombe

Tangu siku ilipotaka kumuondoa mke wa jirani yangu aliyedanganywa baada ya masaa 6 inakuwa haina nguvu wala sidanganyiki eeeh!
Aaah sio mchezo mkuu, mm nilishawahi Kukaa nayo kichwani mpaka niliomba Mungu aloo na kutubu maana muda unaenda Nalala naamka lakini zigo ninalo tu,

Toka wakati huo pombe na dawa ni tatizo kwangu
 
Hakuna dawa ambayo ukichanhanya na Pombe haitakuletea shida ila tu Utofauti upo kwenye madhara yake na ukubwa wake.. Kuna dawa kama Metronidazole na dawa za jamii hii ukinywa na Pombe umeishaaa. Zingine zitakupa changamoto tu ambazo zinaweza zisiwe mbaya.

SABABU KUBWA NI
Kila dawa huwa inachakatwa kwenye Ini ili iweze kufika hatua ya kutolewa nje lakini Pombe pia huchakatwa na maini so endapo Umekunywa pombe na dawa Ini linaweza kuchaka pombe itoke kwanza na kuacha dawa inazidi kuaccumulate ndani ya damu au zile product za dawa mpaka kufikia kiasi cha kuleta shida. USINYWE POMBE NA DAWA.
Uko vizuri, kumbe sio kula tunda kimasihara tu!
 
Hata kula mbususu nayo ni hatari.

Kuna jamaa aliugua TB kutokana na matumizi ya moto muda mrefu,(yeye ni mkaanga chipsi)..
Alikuja kupata nafuu kama miezi sita hivi kupita..
Kuugua muda mrefu akajikuta siku moja nyege zimempanda kinoma,ikabidi aende bafuni kupiga punyeto,ile kupiga bao tu akasikia kizinguzungu,miguu ikaisha nguvu akaanguka chini pwaaa kama mzigo na kupoteza fahamu.
Kaja kuzinduka siku ya tatu yupo hospitali kashapigwa madrip kibao,na ugonjwa ukaanza upyaaa mara mbili ya mwanzo,aliumwa nusu afe.
 
Sawa mkuu. Umetoa muongozo mzuri bila shaka wengi wamefaidika hapa.
 
Hata kula mbususu nayo ni hatari.

Kuna jamaa aliugua TB kutokana na matumizi ya moto muda mrefu,(yeye ni mkaanga chipsi)..
Alikuja kupata nafuu kama miezi sita hivi kupita..
Kuugua muda mrefu akajikuta siku moja nyege zimempanda kinoma,ikabidi aende bafuni kupiga punyeto,ile kupiga bao tu akasikia kizinguzungu,miguu ikaisha nguvu akaanguka chini pwaaa kama mzigo na kupoteza fahamu.
Kaja kuzinduka siku ya tatu yupo hospitali kashapigwa madrip kibao,na ugonjwa ukaanza upyaaa mara mbili ya mwanzo,aliumwa nusu afe.
Ohooo sio kamba hii kweli?
 
Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa.
Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa?

Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani na pombe.

Msisubiri watu wafe ndo mjifanye kusikitika.
Ahsante.
Ni nani huyo mkuu?
 
Ni uzembe wake hiyo Pisi...

Toka lini uchanganye pombe na dawa hata bila kuambiwa...
 
Back
Top Bottom