ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,715
- 28,268
Vepe mbona upo curious una boyfriend anayeanza kazi hiyo nn?madaktari wanaoanza wanalipwa shilingi ngapi kwani?
Vepe mbona upo curious una boyfriend anayeanza kazi hiyo nn?madaktari wanaoanza wanalipwa shilingi ngapi kwani?
Na hao wengine wanaanzia tzs ngapi?1, 400, 000/= kwa ngazi ya digree serikalini
Hiyo 1.48Million ni Basic Salary.Hii ni gross au net?
Kama mtu anapata mshahara mkubwa kumzidi mwalimu nahesabia huo ni mshahara mkubwaKumbe "unasikia". Mshahara "mnono" kwa tafsiri yako ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndogo sana hii ukizingatia kuna makato kibao.Basic salary ni 1.4 M
hahahhaa eti kalishwa limbwataJirani Yangu Kalishwa Limbwata Ndo Chanzo Kuwa Hivyo
Hata wa kwangu mkuu, yeye anaamini mimi ndiye nina hela kuliko mama yake wakati mama yake ni mwajiriwa analipwa.Nina Mtoto Ukimwambia Nenda Kachukue Pesa Kwa Mama
Ananijibu Mama Hana Pesa
Si ndio hapo, salary yangu ya kwanza hiyo baada ya kutoka chuo na kuajiriwa private sector mwaka 2011.Huu ndio mshahara mkubwa??????
? miaka yote ya kukimbizana na vitabu???
Sure plus ugumu wa kaziNdogo sana hii ukizingatia kuna makato kibao.
Hiyo 1.48Million ni Basic Salary.
Kumbuka huo ni mshahara wa Daktari wa ngazi ya juu katika ajira za serikali anapoanza kuajiriwa hapa Tanzania.
Na huo ndio mshahara wake anapoanza kuajiriwa serikalini. Na huenda ndio Mtumishi wa serikali wa kitaaluma anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko fani zingine zote zinazoajiriwa serikalini kwa sasa.nk.
nimesoma pcb mkuu wacha uongo wako
hapo kumbuka haujaongelea makato mkuu baada ya makato take home ni 900kBasic salary ni 1.4 M
Madaktar mda wote tuna waza kukufanya uwe healthy fit hatuwaz kupaka poda.....am proud of my work..Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI..
Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani ukadhani ni kichaa unakuta kavaa nguo hazijanyooshwa, viatu vichafu, nywele hajachana yaani yupo ovyo ovyo tu...
Madaktari badiliken bwana kama mnavokuwa wasafi maeneo yenu ya kazi basi hata mtaani kuwen hivyo
Kusom PCB sio tatzo,tatzo n end results ya hyo pcbnimesoma pcb mkuu wacha uongo wako
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
nakuona kakahawana elaa hao njoo kwa ma engineer huku mtoto mzuri tujenge family