Madaktari mna haki kabisa lakini kwa hili siwaungi mkono hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari mna haki kabisa lakini kwa hili siwaungi mkono hata kidogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stroke, Jul 2, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,370
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  Kama haki ya kuongezewa mshahara tu mnayo...lakini kwa madai yenu ya 3 m, kama mshahara wa kuanzia siwaungi mkono kabisa..madai mengine yanaweza zungumzika lakini hilo hapana..naona na nyie mnaaza kuwa wabinafsi to some point na kusahau kua kuna wafanyakazi wa idara nyingine vile vile..kuna waalimu, wanasheria, wachumi, rasilimali watu..you name it..hao nao wakiongezewa mishahara na kupewa VIP treatment kama madai yenu yalivyo sidhani kama hata bajeti itatosha..yoote inaishia kwenye mishahara tu...shughuli za maendeleo tutafanya lini kama vipato vyetu tunamalizia kwenyematumizi tu..ikumbukwe kua bado taifa letu ni changa na si sahihi kwa watu wa kada mmoja kutaka kujipendelea wenyewe tu na kusahau kua ..hapa tulipo tunakesha tukiomba tusiugue maana hospitali hakuna huduma..ndio hatakama mfano serikali ikalipa hizo 3m...hiyo pesa inaweza rudisha maisha ya watu ambayo yatakua yamepotea kutokana na ukosefu wa Huduma?? Nduguzanguni..tubuni na mrudi makazini..MUNGU mwenyewe hapendi kuona mambo kama haya yakiendelea..ndio kuna kutokuelewana na serikali lakini tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida ambao tunahitaji huduma zenu..ili tuweze timiza malengo yetu..MUNGU aliwapatia nyie hivyo vipaji ili mumsaidie kazi yake ya kutunza afya zetu..lakini hatapenda kuona mkitumia vibaya nafasi hiyo aliyowapa...wengine sisi..hatuna ndugu wala marafiki ambao ni madaktari..tunawategemea nyie...tusaidieni na tuvumiliane katika mkate huu mdogo tunaoupata..najua wanasiasa wanapata kikubwa lakini , shughuli yao haipo mbali sana..kuna mchakato huu wa katiba na pia kuna uchaguzi wa 2015 ambao haupo mbali sana , kama mnaona serikali si sikivu..basi tunawaomba mrudi makazini na tuhamishie hasira zetu 2015...kwa wote kupiga kura...kufanya mabadiliko..ila kwa staili hii ya migomo..mnakua hamna tofauti na hao mafisadi wanaotumaliza..chonde chonde...rudini makazini..tunawahitaji sana...
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa Madktari waakalipwa fedha hiyo ,kuna fedha nyingi tuu alizojiwekea Kikwete za kudhurula hapa dduniani juzi tuu kulikuwa na billioni sita zimekaa zikimgonja na wajanja wakazikwapua
   
Loading...