Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,795
Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu (🐐🐐 🇺🇸 a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi.
Kutokana na hotuba ya Jana pale jumba la dhahabu, baba kaweka wazi mipango yake ya miaka mitano, hamna sehemu kataja mfuko wa bima ya afya, hi kwa ajira zenu sio changamoto.
Changamoto ni hii Hapa
Yaani upo ndani ya ndoa, umeolewa, halafu bila kupepesa macho, mume anakutangazia rasmi, kuanzia leo wewe Mke wangu na msichana wa kazi, mna haki sawa na hadhi sawa.
Mkuu kasoma mchezo, kagundua hatutakuwa hatuna tena madawa ya msaada, Wala kasenti ketu hakatutoshelezi, hivyo basi, watu wa sekta ya afya mtapunguzwa ili kubana matumizi.
Kama ulikuwa hujui kubeti, Bora uanze kujifunza sasa.
Umechezea cadaver mwaka mzima halafu Manyaunyau na damu zake za paka anakuja kukuondoa wodini.
I love CCM