Madaktari kwanini wamtibu Dr Ulimboka wakati wapo kwenye mgomo?

Mdaktari wanahitaji Mshahara wa Milioni 3.5, Katika nchi Maskini ni Vigumu kulipwa mshahara huu, Nadhani wafanye Analysis kama inawezekana kwani kwa sasa anayetoka Chuoni analipwa Kuanzia Laki Tisa, Na Serikali imewaongezea Posho walizokuwa wanahitaji isipokuwa la kulipwa mshahara huo na nadhani imefika wakati kama unaona kazi unayofanya hailipi badilisha kazi au usisomee kitu ambacho halilipi, nawashauri wote wanaosoma Udaktari na Wanaotarajia kusomea kama unadhani hailipi au Ukimaliza Chuo lazima uajiriwe na Serikali usisome au acha unachosome somea kitu kingine,

Nadhani imefika wakati tujue kuwa Professional nyingine ni muhimu pia kama wanavyodhani Madaktari wao ni muhimu zaidi halafu Board ya mikopo inatoa asimilimi 100% kwa wanafunzi wanaosomea Udaktari hizi ni Kodi za Watanzania ambazo lazima muwatumikie,

Idara ya afya ni miongoni mwa idara zinazooongoza kwa Rushwa Tanzania,

Madakri wamegoma kuwatibu Watanzania lakini Dr Ulimboka kafika wameacha Mgomo wameenda kumshughulikia wanaacha watanzania wanaendelea kufa

Madaktari mnachelewa ofisini, mnapokea Rushwa haya yote hamsemi mtayerekebisha vipi,

Umefika wakati Serikali kutumia Sheria za Utumishi la sivyo itafika sehemu Watumishi wote wa Serikali wahitaji Milion 3.5

Viongozi wenye dhamana fanyeni maamuzi magumu whether is wrong or Right,
Mhe EL Alishawahi kusema Msiogope kufanya Maamuzi whether is wrong or Right.

Mhe Waziri mkuu kila kitu lazima mseme Top Leaders kwani huko mikoani hakuna viongozi au Wilayani.
Watekeleze wajibu wao na Fanya Maamuzi kama kiongozi Mkuu wa serikali lazima mbadilike ili nchi iende.
Hao wanaotaka kushika nchi watanzania wanafikiri hawatacheka na mtu anayekwenda kinyume na Sheria Na taratibu za Kazi na ndivyo itakuwa hivyo

Jamani kuna vitu hatupaswi kujiulizaaaa Kama nchi maskini hatuna hela za kuwalipa madaktari tulio nao ila tunahela zakukopa kulipa foreignersssssssss duuuu kweli hii ni problem child
 
mi natanmani na walimu wagome ili watulete walimu kutoka nnje,,alafu hao madaktari wanaotoka nnje kwanza kiswahili hawajui,,mi nafufai coz wataniajiri nikawe mkalimani
 
Back
Top Bottom