Madaktari kuongezewa posho, kupatiwa nyumba na green card

GreenCard-800x513.jpg
ndo hii hapa
 
green card inayosemwa ni card ya BIMA ya AFYA ya NHIF ambayo unakuwezesha kutibiwa hospitai yoyote nchi hii iwe ya serikali au private bila kujali ggarama zao na unaweza kufanyiwa kipimo chochote na pia unaweza kupata dawa yoyote inayohitajika kutibiwa tatizo lako bila kujali gharama alimradi inapatikina hapa nchini.
na ukulazwa unapewa first class na kupata huduma bora kabisa.
hii ndo green card
 
Back
Top Bottom