Madaktari jiteteeni kwa bidii, magamba wanawafarakanisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari jiteteeni kwa bidii, magamba wanawafarakanisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Jul 2, 2012.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  katika kuendeleza propaganda zao, jana Kikwete nae ameungana na wana-magamba kupotosha madai ya madaktari walio kwenye mgomo hapa nchini. Jana, ****** aliongelea dai moja tu kati ya madai kadhaa ya mdaktari; nyongeza za marupurupu ya madaktari. Hii imefanya sehemu kubwa ya jamii kuamini kwamba madaktari wanadai nyongeza ya marupurupu yao tu na hakuna mengine kitu ambacho si kweli. Vyombo vya habari navyo vinachagiza dai hili moja tu. Hii inafanya sehemu fulani ya jamii kuamini madaktari ni wabinafsi. Naomba madaktari, kwa kutumia njia yoyote muijuayo, tangazeni kwa bidii sana, wananchi wote wajue ni nini mnagomea. Mathalani, nunueni ukurasa mmoja wa magazeti pendwa mueleze hasa tatizo ni nini. Magazeti kama Mwananchi, MwanaHalisi, MwanaSpoti, Raia Mwema na gazeti moja au mawili ya udaku.

  nawasilisha!!!
   
Loading...