Mie yangu ni maombi tu
Waliotakiwa kufanya hvyo ni serikali bcs wao tuliwachagua watusimanie, na walikuja kutuomba na kutuhakhkishha mambo yatakuwa poa imekuwaje?ninachoamini ni kuwa kati ya hawa wawili wanaogimbana panatakiwa mmoja akae chini na kusema njoo tuzungumze lakini wakiendelea kutunishiana mikono ndo sisi tunazidi kupata shida
Wakati tunajadili haya yote! Tuna wafikiriaje wagonjwa waliopoteza maisha yao kutokana na huu mgomo? Au madaktari ndio wenye haki ya kuamua watu waishi au lah! Wakati tunampa pole ulimboka, tukumbuke kuna waliokufa pia. Mungu na azirehemu roho zao watu hawa wasio na mtetezi.
Ile hotuba aliandikiwa, hana muda wala interest ya kukaa chini na kufikiri. Akaisoma hivyo hivyo, word by word!
Subiri utasikia ameshauriwa vibaya
Katibu Dr Chitage..................waliobaki kazini wanaendelea na mgomo mbali ya madaktari bingwa kutangaza mgomo
Edwini Chitage katibu wa jumuiya madaktari.
Madaktari bigwa wagoma rasmi wamesema hawawezi kufanya kazi peke yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu
Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja?
Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa
Omba sana Mungu usipate ajali leo au kesho, nina uhakika utatamani hata ku- pause hiyo movie achilia mbali kuizima kabisa.Nimeipenda hii movie, nafikiri sasa LIWALO NA LIWE, "DHAIFU" amechokoza nyuki kwenye mzinga, yeye anafikiri madaktari bingwa walifurahi jinsi serikali yao ilivyomdharirisha dokta ULIMBOKA!
What next? Ma-nurse?
Busara ya Spika ingeweza kusaidia sana kuepusha balaa linalotunyemelea watanzania sasa hivi.
Ushauri wangu kwa wabunge na hasa wale wa CCM someni alama za nyakati, tatueni hili tatizo kwa mbinu zinazokubalika kwa watanzania wa sasa. Report ya kamati ya huduma ya jamii iwekwe hadharani na bunge lijadili. Mchezo wa kuegemea mahakama utawagharibu sana. Tumieni akili kama watu wazima na mtatue matatizo ya msingi na sio kulamisha mambo kwa mgongo wa mahakama. Watanzania wamechoka na maisha magumu.
Edwini Chitage katibu wa jumuiya madaktari.
Madaktari bigwa wagoma rasmi wamesema hawawezi kufanya kazi peke yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu
Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja?
Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa
Lawama tunazielekeza kwa mwajiri wa madaktari (serikali) ambaye sisi wananchi tumemwajiri na tunampa pesa (kodi)atuhakikishie uwepo wa huduma bora za afya. Kama hawezi kutatua matatizo na waajiriwa (madaktari) wake ni bora akatangaza kushindwa kazi ili tuajiri mwajiri mwingine wa madaktari atakayeweza hiyo kazi.