Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,886
- 1,193
Roho za marehemu waliokufa katika varangati hili zinatakiwa ziililie serikali na siyo madaktari. Mwananchi ana mkataba na serikali yake kumpatia huduma muhimu za jamii ndiyo maana analipa kodi na siyo madaktari.Wakati tunajadili haya yote! Tuna wafikiriaje wagonjwa waliopoteza maisha yao kutokana na huu mgomo? Au madaktari ndio wenye haki ya kuamua watu waishi au lah! Wakati tunampa pole ulimboka, tukumbuke kuna waliokufa pia. Mungu na azirehemu roho zao watu hawa wasio na mtetezi.