Madaktari 100+ wapata kazi nje ya nchi

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
KUTOKANA NA KIBURI CHA SERIKALI KUSHINDWA KUTATUA MGOGORO WA MADAKTARI ,INASEMEKANA KUWA ZAIDI YA MADAKTARI 100 WANATARAJIWA KUONDOKA NCHINI HIVI HUU KUFANYA KAZI KATIKA MATAIFA MBALI MBALI NA HII NI LISTI FUPI ILA NITALETA RIPOTI ZAIDI KWA KADRI NITAKAVYOIPATA;

3 DOCTORS -ST PETERS MEDICAL CENTRE KIGALI-RWANDA

14 DOCTORS- NYABURUGE HEART CLINIC KIGALI RWANDA

6 DOCTORS- THE FATHERS CENTRE- BRAZAVILLE CONGO

20 DOCTORS- BRAZAVILLE GROUP OF HOSPITALS- CONGO

4-DOCTORS- LUBUMBASHI MEDICS-CONGO KINSHASA

42-DOCTORS -GABORONE -BOTSWaNA

30 KATI YAO WAMESHAOONDOKA NA WENGINE WANATARAJIWA KURIPOTI KAZINI KABLA YA MWISHO WA WIKI HII

KAZI KWA SERIKALI YA JK NA MH MTOTO WA MKULIMA
 
AISEEE??BANDU BANDU HUMALIZA GOGO LA ASALI

hivi kweli tumeshindwa kutatua,mpaka kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI EEEEEEEEEEEEEEEHH
 
aaah! ni kweli mkuu? sasa mbona tumesikia kikwete amesaini posho za wabunge kabla ya kuongea na madaktari??ni kweli haya>?hii serikali mbona inatuchanganya
 
safi sana kama huna hela ya kwenda agha khan shauri yako hilo ndio jibu la serikali yetu..

ngoja tuone nani atashindwa kati ya serikali na madaktari katika vita ya inayoendelea hivi sasa. mbona jana tbc wamesema madaktari wameitikia agizo la pinda au ilikuwa ni kukutana nae nini..

r i p wale wote waliofariki kutokana na mgomo huu unaoendelea..
 
waende tu bwana maana nao ni watu wanahitaji kuhudumia familia zao,wao wenyewe,ndugu zao na kujiendeleza kimaisha sasa kama huwalipi na wala huthamini kazi yao na mbaya zaidi huthamini taaluma yao unategemea nini?nilichokiona hapa TZ mwanasiasa ni bora zaidi kuliko mtu yeyote.
 
watazuiliwa kutoka nchini na pass zao za kusafiria zitashikiriwa na serikali wa uchunguzi zaidi.
 
Watu na taaluma zao huwezi kuwaletea za kuleta, acha waende tu huko. Sisi wachache ambao tunafanya kazi kwa bidii tutatibiwa katika hospitali binafsi kwa garama yoyote ile. Acha wabunge, ambao wengine hata shule hawajaenda kama Maji Marefu na Livingstone Lusinde, waongezewe posho huku ma Dr waliosotea kisomo miaka zaidi ya 6 at least baada ya ile miaka 13 ya formal education wanyanyaswe. mtu kakaa darasani miaka 19 (kama hakurudia) posho 10,000 na aliyepata ubunge kiujanja ujanja posho 200,000 tena za kusinzia bungeni. Ningebahatika kusomea udaktari saizi ningekuwa kwa Mswati napiga kazi
 
Nasikia 100 kutoka dar tuu wameenda swaziland na wameshaanza kazi leo mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali
 
NA HUYO DR ULIMBOka kapata wapi?????????????

una hospitali weye au una kazi nyingine ya kumpa??maana kaumbo kako hata DK mkuu wa kaya akikuona laaaaaaaaaa Ukatibu mkuu waWizara ya Afya faster na safari kibo ugaibuni
 
Habari hizi uhakika wake ukoje? I mean source, Japo ukweli nawaombea neema maDR wote acha waende kokote wanakothaminiwa
 
na bado wataondoka wengi tu mwisho wa siku tutabaki na waganga wa kienyeji akina maji marefu
 
Jamani nasisitiza tufanye kitu hawa magamba hawatajali sisi kufa kama kuku kama tunaendelea kua kimya
 
kama ni kweli picha imeingia part two!!!kwa wiki moja watakuwa wameisha wote,tusubiri muendelezo wa hii filamu,nashangaa bunge wala halina habari na huu mgomo wao wanaendelea na kuuliza masuala ya minara ya simu badala ya kuhoji hali za wagonjwa.
 
teh teh acheni kujidanganya, na kueneza uwongo hakuna kitu kama hicho.Acheni siasa za maji taka
 
Back
Top Bottom