Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.

Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.

Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.
Mkuu imenibidi nicheke sana mbona uwoga umezidi sana kuelekea uchaguzi mkuuu je hatujawatendea haki wananchi wetu?
 
Na kile chama kinacho mwalika balozi wa kichina na kuvaa sare yao wao nao wamepewa barua?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Si ilkuwa hadhalani kwani ilikuwa kificho?
Zito alijificha ndio maana.
 
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.

Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.

Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.

Sasa Msajili unasema;

"....taarifa ya vyombo vya habari inasema kuwa mazungumzo hayo yalihusu kuisaidia ACT Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 dhidi ya vyama vya siasa vingine....."

Mwishoni Msajili anaagiza ACT Wazalendo kuwasilisha maelezo yao ili kujua ukweli wa jambo hili.....

Hapa ndipo penye shida;

1. Yaani umeshaupata ukweli kupitia "vyombo vya habari" tayari....

2. Halafu hapo hapo tena unataka maelezo toka kwa aliyekwisha kushuhudiwa "ukweli" dhidi yake na mtu mwingine "ili ujue ukweli wa jambo lilelile....!!

3. Mimi nadhani wangewaandikia kuwataka "wajitetee kwa nini wasichukuliwe hatua za kisheria kwa kosa hilo" kwa sababu tayari wanao "ukweli " mezani kwao kupitia gazeti la JAMVI LA HABARI....

NB: BY THE WAY, Msajili anadhani huyu Balozi wa UK hajui hizo sheria na pamoja na maadili ya kibalozi hats aamua kuyavunja hadharani?

Ndiyo, Zito Kabwe alikwenda kwa Balozi mchana kweupe na baadaye akatoka kurudi kwake mchana kweupe. Kwanini CCM mmeamua kuwa "so paranoid" kwa kiwango hiki kiasi ambacho hata jani tu la mwembe likiwatambaa kwenye miguu yenu, mnaruka juu na kudhani nyoka?? What's wrong with you??
 
Msajili ni mlamba makalio ya watesi wa watz waliojipa kinga
 
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.

Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.

Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.

HIVI WOGA WOTE HUU WA JIWE CHANZO CHAKE NI NINI?
 
bure kbs hawa...hebu imagine huyo balozi ni demu na ana mahusiano ya karibu na Zito, sasa hapa si tutasema msajili wa vyama vya siasa anamuonea wivu wa KIMAPENZI Zito?!.

yanakurupuka hovyo kutaka kumfurahisha mkuu wao ambaye naye kimsingi ndicho anachotaka...basi angalau watende kwa weledi japo kdg.

ni kama wale police wa dodoma na utunzi wao juu ya kushambuliwa kwa Mbowe
Tatizo sio kukutana na balozi. Tatizo ni kujadili uchaguzi kinyume na sheria. Jitahidi kuisoma barua ya msajili.
Au baki kumjadili mlevi wenu wa taifa. Kwani ndio uwezo wenu
 
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.

Kulingana na barua hiyo,Msajili anataka kupata ukweli wa madai hayo yaliyoandikwa na vyombo vya habari.

Tweet yenye barua hiyo(barua ya tarehe 12/06/2020) imekuwa retweeted na baadhi ya watu akiwemo Zitto mwenyewe.

hivi msajili alisemaje kuhusu hili la CCM yetu?
mnaokumbuka tukumbushane ndugu.

Jamvi la habari: Akutwa nyumbani kwa balozi wakiteta UMBEA
Times Observer: Alleged to sponsor Zitto and his associates to cause VIOLENT
Sisty Nyahoza anatuaminisha habari ambazo gazeti lenyewe limesema ni za kimbea zinamnyima usingizi. Hao Times Observer (sijui wanatoka wapi) wao wanakuja na allegations zinazo allege......masikini wa Mungu hati "to cause VIOLENT". Kingereza kibovu hawawezi kuwa serious na wanacho andika. Naona baada ya kuivuruga CUF sasa wanataka kuhamia ACT.

Barua: katazo kwa wageni kufanya vikao na vyama vyenye lengo la kufanikisha malengo la kisiasa ya chama husika. Sasa huu ndio upotolo halisi. Chama kinakuwa na mikutano na wale ambao sio raia wa Tanzania ili kujijenga (ushauri, msaada wa hali na mali, kushawishi etc) kiweze kufanikiwa katika lengo la kushika dola au kuendelea kushika dola. Hata CCM ina rafiki zake etc wanaokisaidia, sasa sijui utapataje msaada kama hukutani na watu. Tutaona mengi.
 
Acheni uzushi, mh zitt anashutumiwa kutafuta msaada wa kifedha kwa ambassador ambap ni kinyume na sheria za uchaguzi.
Tatizo sio kukutana na balozi. Tatizo ni kujadili uchaguzi kinyume na sheria. Jitahidi kuisoma barua ya msajili.
Naona mmekuja na tafsiri zenu. Barua ile iko wazi, labda mtuambia msajili ameshindwa kutafsiri sheria alipoandika barua yake na kama ni hivyo basi hafai kuwa msajili.
 
Back
Top Bottom