Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

Nilimsikiliza siku hiyo Dr wangu ambaye mara zote nimekuwa niki-muadmire, lakini siku ile kidogo nilipata wasiwasi naye kutokana na aliyokuwa anayatamka. Nillishangaa kwa nini anaupigia debe saana muungano wa Bara na visiwani??? Kuna namna hapa, asije kuwa jamaa keshavalishwa Gamba!
uvivu wa fikra ni mbaya sana
 
Tatizo upeo wa kufikiri viongozi wa sasa hawana ndio maana wanang'ang'ania kuongoza hata kama hawawezi,wanachakachua muswada wa katiba wakizani wao ndio watanzania kuliko wengine.Eti ni marufuku kujadili MUUNGANO,ni muhimu sasa wafanyie kazi busara za wazee.
 
Kwa vile kwa upande wa Zanzibar mkataba wao wa Mungano Uliliwa na mchwa na kutoweka,Tz bara watakuwa wamefanya kitendo cha kiungwana ikiwa watauanika mkataba walionao kwa upande wao

(Nyongeza Huenda penye fungu)
 
Wazee hawawaelewi, mnataka kuvunja muungano watu wakose penseni zao. Wapi Mohammed Seif Khatibu!.
 
Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga
Duh...!.
Huyu ndiye shuhuda pekee wa kusainiwa muungano wetu adhimu, aliyebaki kuwa hai.
Kifo hiki maana yake mashuhuda wote wa kusainiwa kwa The Articles of The Union Between Tanganyika and Zanzibar, wametangulia mbele ya haki.
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano?
RIP Mzee Hassan Nassor Moyo.
Inna lillah wainna ilayhi rajiuna

P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom