Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

Muungano mlisaini wenyewe, Karume akakubali kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Nyerere akiwa Rais! Mabadiliko ya 11 ya Katiba ya JMT, 1977 ndiyo yaliyoondoa nafasi ya Makamu wa Rais kuwa moja kwa moja Rais wa Zanzibar! Kama Wazanzibari wasingeupenda Muungano wasingekimbilia mahakamani kupinga mabadiliko hayo ya 11! Pia malamiko mengi ya Wazanzibari ni ya "kutaka haki zaidi" kwenye Muungano badala ya kuuvunja! Otherwise, wangeshajitenga zamani!
Unaposema sisi wenyewe na huku ukimfanya Karume kama sisi sote unamaanisha nini? Halafu hili la kuondoshwa Rais wa Zanzibar kuwa Makamo wa Rais wa Tanzania lilifanywa na Katiba ya 1977?
Iwapo haki haipatikani basi si bora huo Muungano ukavunjika?
 
Baada ya miaka 47 ndio "mnagundua" uvamizi kama yule mzungu "aliyegundua" Mlima Kilimanjaro? Lazima utakuwa ni "uvamizi mzuri," ndio maana "haukugundulika" mapema, hadi itumike "microscope!"
Jitihada za kuondowa uvamizi huu zilianza mapema. Hukumbuki kuchafuka kwa hali ya kisiasa Zanzibar 1984?
 
Hao Viongozi wenu ni wanafiki, sio wakweli hata kidogo, wanafanya maamuzi wenyewe kisha baadaye wanakuja kudai kuwa eti walipelekeshwa!

Naam Viongozi wetu Tanzania wa Siasa na dini ni Waongo! sasa mbona tunawafuata hao kina Slaa, na kina Pengo?
 
Sio kila upande unaona mwenzake hafai! :-(Tanzania Bara;) hakuna vipeprushi vya kususia sherehe na pia hawajawahi kupeleka kesi yoyote mahakamani dhidi ya Muungano kama walivyofanya Wazanzibari!
hapo kwenye mabano naomba isomeke Tanganyika
 
Jitihada za kuondowa uvamizi huu zilianza mapema. Hukumbuki kuchafuka kwa hali ya kisiasa Zanzibar 1984?

Uvamizi upi wakati hata Katiba ya Zanzibar ambayo hata Karume (Sr) hakushiriki kuitunga inatambua Muungano? Kwani kuna asiye Mzanzibari yeyote aliyewatungia Katiba yenu?
 
Wanaotaka ufe sio viongozi peke yao, bali Wazanzibari wengi hawautaki hivi ulivyo ambapo inaonyesha dhahir kuwa nchi moja kubwa imeikalia nyengine ndogo.

Hizo gharama ambazo Dr. Lwaitama anazizungumzia zinamhusu nini? Kwani kabla ya huu unaoitwa "muungano", kila nchi ikijiendesha vipi?

Kabla ya Muungano, Zanzibar ilikuwa na kiti chake UN na katika agencies zake kadhaa. Pia ilikuwa na kiti huko Jumuiya ya Madola na itifaki zote za kiserikali.

Huu si muungano kabisa, unadumu kwa kutumia nguvu za dola tu.

Couldnt agree more! Shida ni kwamba wahusika kwa sababu ya kushiba madaraka hawataki ku-address issues kikweli. Hii ni tabia ya serikali ya Muungano. Imagine swala la Umeme, mpaka wa leo hii hakuna seriousness ktk kulishugulikia just because matatizo hayo yanawanufaisha wao na makali ya kukosa umeme hayagusi kihivyo.

Muungano ni mzuri. Lakini kama ilivyo ndoa huwezi kuishi na matatizo ktk ndoa bila kuyashughulikia. Why not address them peoples feelings about huu Muungano? Why.
 
Ni wapi nilidai kuwa "mikutano yote" inafanyikia misikitini?

Nilijuwa utakuja tu. Naam hkusema lakini si ulisema kuwa uislamu ndio unaochochochea? Sasa nilipokuuliza Sita alifanyia wapi mkutano na waliotowa kasoro za Muungano walikuwa hao mashehe na sio wasomi na wanasheria? Unapotowa tuhuma unatakiwa kuwa makini kwani hatuko wajinga sote humu.
 
Uvamizi upi wakati hata Katiba ya Zanzibar ambayo hata Karume (Sr) hakushiriki kuitunga inatambua Muungano? Kwani kuna asiye Mzanzibari yeyote aliyewatungia Katiba yenu?

Jee kulikuwa na malalamiko wakati wa Karume(jr) juu ya Muungano? Pengine ungefanya utafiti haya malalamiko yalianzia wapi katika Muungano huu?
 
wamsusie Kikwete na Shein?? Aaah, hawa si waislam wenzao? I hope to hear soon something from Mufti na maimam wa Arusha wakiwakemea hao!!!
 
Mapinduzi yalifanywa na Wazanzibari wenyewe, asikudanganye mtu! Mmeshazoea kumfanya Nyerere kama kitambaa cha kupengea kamasi, as if Wazanzibari hawajawahi kabisa kuvikalia hivyo visiwa, au alikuwa vichwani mwa Wazanzibari kila mara ku-deactivate akili zao! Haya tutajie idadi na majina ya hao unaowaita "Special Forces" waliotumwa na Nyerere tr 11/01/1964!

Mapinduzi yalifanywa na Tito Okelo wa Uganda na kikosi chake! Karume alitimkia Bara kabla.
 
Vijana wa kizanzbar nyie ndio wengi mpo hapa na inaonyesha kua hamuupend muungano,anzishen makongamano muwahamasishe na wenzenu ili saut zenu zisiikike,tatizo hamtaki kwenda shuleee,wengi wenu atleast mkija bara ndio mnaambulia shule,maana hata mkipga kelele hapa haisaidii,
mimi ni mwalimu na nawafundisha watoto kutoka visiwani,wengi ni dead wood kama si slow learners,so kwanza vijana muwende darasan kisha anzshen harakat za kudai nchi yenu

Mzalendo.net
 
From ISSA YUSSUF from Zanzibar,

Source: Moreover Silicon Valley

AS the 47th Union anniversary celebrations draw closer, another group of Zanzibaris calling itself G15 has emerged with a call to legalize the union between Zanzibar and Tanzania mainland.

"We are not calling for the break-up of the union. We need the current union to be legalized because it has no legal backing," said Mr Rashid Yussuf Mshenga, the deputy chairperson of the group formed in 2005.

Speaking at a press conference held at the Department of Information- Maelezo, Rahaleo, on Saturday, Mshenga argued that the reply from Zanzibar Attorney General on June 20, 2005 stating that his office had no copy of the Zanzibar/Tanganyika agreement "was proof that a signed agreement does not exist."

Mshenga informed journalists that his group had written to the UN in February last year, and a reminder letter in February this year, demanding the UN's position on the Zanzibar and Tanganyika union.

A similar Group of Ten with a similar mission, led by Mr Rashid Salum Adiy, has been operating in Zanzibar.

"We are pressing the UN to give us an answer before we proceed with a legal action that may lead to the call for referendum to ask Zanzibaris the type of union they want before signing a fresh Union agreement," he said.

Flanked by the Group's Secretary, Mr Rashid Ahmed Rashid and Mr Abdallah Hassan Mrisho, Mshenga vowed to continue demanding for a signed union agreement of 1964 or "there should be a fresh agreement in the union."

Others in the group include Mbarouk Sheha Simai, Haji Sheha Hemed, Faki Haji Pandu, Suleiman Mohamed Hassan, Sameer Ibrahim Abdallah, Bakari Ali, Mohamed Shaaban Mohamed, Bakari Hamad Haji, and Rashid Khamis Rashid.
 
For God's sake, these damn guys are right!

What is the hindrance to reveal the document to the public for scrutinization?
I think its a civic right for them to know what are the contents, coz the union is about people and not the leading group!
If it happens that the document doesn't exist at all, the parties have the right to know that too!
The silence and secrecy currently being displayed by the vigogos is a time bomb!
 
Msitu ukiingia moto hakibaki kitu.

Saa ya ukombozi ni sasa, Zanzibar for Zanzibaris
 
..sasa walichosaini Nyerere na Karume kilikuwa ni kitu gani?

..hizo document hazionekani kwasababu Zanzibar hawana utaratibu mzuri wa kutunza nyaraka za serikali.

..nawashauri wakajipange upya na kuja na madai ya msingi.
 
Mi nafikiri walisaidi mambo mengine sio mkataba wa muungano,pengine walisaini ujenzi wa barabara ya dodom ili wabunge wafike kwa haraka katika bunge.

Muungano unalindwa na watu wachache tu kwa maslahi yao,kwa mfano huyu DR shein rais wa zanzibar wa kupandiza kwa kutmia nguvu za dola ili awatumikie viongozi wa tanganyika.

Na ndio maana ukaona hata rais kalinyamazia kimya,lakini usenge huu na ujinga huu kama karume angelikuwa hayiiiii leo hii basi muungano angelikuwa kashaumaliza zamani mwisho chumbeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom