Madai ya Polisi kuwabambikia kesi watuhumiwa yamejithibitisha katika kesi ya Kabendera

Hata kama siyo lile naamini kuna watu hawakufurahi jamaa kuwatetea wale wazungu, sijui kwanini lakini nafahamu hata kama Marehemu Mengi hakufanya kitu, some one somewhere in the system hakupenda au kufurahishwa na utetezi wa kabendera kwa wazungu, na kumtosa muajiri wake na aliye aminika ni mzalendo number one. Hili huwa na lihisi ingawa ni ngumu kulitolea maelezo, ila my gut has always thought, all this could be associated with that.

Huyu jamaa anaonekana siyo mzalendo kwa kumruka Mengi, na mbaya zaidi alikuwa muajiri wake.
Kwa vile nimetokea kumfahamu vizuri Erick Kabendera na kumfahamu vizuri Mzee Reginald Mengi, na wakati wa shauri hilo, mimi ndio nilikuwa Political Advisor to the British High Commissioner in Tanzania, hivyo I know for sure, Eric Kabendera testified the truth.

Sio kila vingaavyo ni dhahabu!. Unamjua wakili wa vyama vya ushirika ambao ndio wamiliki halali wa mashamba hayo, na baada ya kushinda kesi nini kilimkuta...

P
 
Ndio ujinga wa hizi kazi aiseeee. Unafanya kumfurahisha Boss au kutekeleza maagizo ya Boss halafu anakuja kukugeuka. Lissu na Mbowe huwa wanawaambia hawa kenge kuwa mwenzenu ana kinga, wanajitia vichwa maji

Kitochi Original
Mpwa hata huyo anayewatuma ana kinga ya mwamvuli dhidi ya mvua sio upepo.
Hiyo kinga anayojidai nayo ina nguvu kulingana na atakaye ingia madarakani.
Mfano ni Rais wa Sudan Al bashir, wamemfunga na wamekubali kuwa wanamkabidhi ICC akapambane na kesi yake.
Duniani hakuna binadamu mbabe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're absolutely right Mpwa. Ana mwamvuli wakati yanakuja mafuriko.
 
Mpwa hata huyo anayewatuma ana kinga ya mwamvuli dhidi ya mvua sio upepo.
Hiyo kinga anayojidai nayo ina nguvu kulingana na atakaye ingia madarakani.
Mfano ni Rais wa Sudan Al bashir, wamemfunga na wamekubali kuwa wanamkabidhi ICC akapambane na kesi yake.
Duniani hakuna binadamu mbabe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true by 100 percent
 
Absolutely true by 100 percent
Na hawa watu ni kukosa akili na kujaa kiburi tuu.
Mungu akikujalia hadi kufikia kupata madaraka hayo, hata usiibe shilingi moja lakini ukatawala kwa haki na kuheshimu katiba na sheria una uhakika wa kuishi vizuri maisha yako yote wewe na familia yako.
Sasa upumbavu wa nini kujifanya mbabe, katili, mwizi na mwenye upendeleo?

Umeongea ukweli mtupu Chakaza kwa asilimia 100

Kinga pekee ya mtu tuliyekukabidhi madaraka ni kutenda kazi yako kwa haki ukiitii Katiba ya nchi ambayo uliapa kuiheshimu kabla ya kukabidhiwa madaraka

Kufikiria kuwa wewe ndiye amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote nchini na hivyo "utatoa" maagizo ambayo mengine ni ya uvunjaji wa dhahiri wa sheria za nchi hii, ukiamini kuwa wewe uko juu ya sheria, ndiyo siku moja yatakukuta yaliyomkuta Al Bashir wa Sudan, kwa kupelekwa kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague
 
Back
Top Bottom