Madai ya pesa za radar:MAHOJIANO YA NAIBU SPIKA Job Ndungai NCHI YETU HAIKO SERIOUS!

Msisahau kutuma barua pepe tu kwa jamaa wale wa advisory board ya BAE kupinga serikali kupewa hizo pesa. Bahati mbaya wabunge hawa wamesahau ya kwamba watanzania wa kawaida hatutaki hela zipitie serikali bali ziende katika hizo hizo NGO at least zinaweza kuwafikia walengwa. Serikali wakawadai akina Chenge, Mkapa na Idrissa .
 
Hivi hiyo urban purse ni kitengo cha habari cha ubalozi wa Tanzania kule uingereza au ni free media. Mbona wanauliza maswali kana kwamba wanaogopa kuitwa nyumbani na kupangiwa kazi nyingine?. Hongera kwa dada wa BBC alikuwa anafanya kazi ya kihandishi hasa, hawa purse walikuwa kama wapida debe au makuwadi fulani hivi
 
ni hakika sio kitengo cha habari cha ubalozi, ila wanashindwa kuwa free media kwa sababu wanazojua wao
labda siku moja kuwaoji na kujua wao ni wa ccm au free media ili watu wanapowaona wajue wanasimama vipi kwa
mtazamo wa kisiasa maana kwa sasa ni ngumu kujitenga na siasa katika biashara yeyote.
wana idea zungu na wanakwenda vizuri ila wanapaswa kuwa kama wako ulaya kweli kwa kuiga mambo mazuri ya BBC na CNN wanavyofanya
 
f..k ths s..t, du huyu jamaa ndio aina ya viongozi wetu halafu mnashangaa kwa nini nchi haiendelei? The guy is empty, coward and unindependent..... C'moon guys nje ya CCM you can still be better than hivyo viposho vinavyowafunga akili, kufikiri na midomo.
 
Haya majibu ya "SIJUI" Aliyaanzisha JK, na watu wa chini yake sasa wamefanya ni fasheni.
Masiwalaumu hao vibaraka.
 
Back
Top Bottom