Madai ya Katiba mpya, Twende mbele zaidi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Tudai katiba mpya kwa nguvu zote, naunga mkono juhudi zote zinazoendelea.

LAKINI NAULIZA SWALI:

Kama tuna Majaji kama hawa tunaowaona katika kesi ya Mbowe, je Katiba mpya itawabadirisha? Maana ultimate destination ya kupata haki Ni Mahakamani, Katiba itawafanya nini hawa Majaji kwa tabia tuliyoiona na ambayo inaendelea katika kesi ya Mbowe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom