Madai ya Interns Muhimbili haya hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madai ya Interns Muhimbili haya hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 3, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,528
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu,

  Katika kikao kilichomalizika hivi punde. Wanafunzi wa udaktari wa vitendo interns waneadhimia mambo makuu mawili kama yafuatavyo;

  1. Kwanza warudishwe kazini kwa mujibu wa wizara kwani ndio mwajiri wao, hivyo wamechagua vijana wachache wakuwakilisha wizarani juu ya hilo na ikishindikana wataenda wote wizarani.

  2. Wanataka mazungumzo na rais kwani kuwa kwao nje ya kazi ni ngumu kufanya mazungumzo.

  3. Mgomo uko pale pale.

  More updates zinafuata
   
 2. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwenye hotuba ya Rais sikuona kipengele cha kutaka majadiliano, nnacho jua alisema kama hutaki nenda...
   
 3. G

  GRILL Senior Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kwani hawa wameajiriwa au?
   
 4. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,528
  Trophy Points: 280
  Atakayekomolewa nani unadhani??
   
 5. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  una matatizo yako wewe..
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao bado ni madaktari wanafunzi wanaweza kuchapa lapa mwaka huu October wengine wanaingia hapo MUCHS.
   
 7. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sijui hebu ntajie
   
 8. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hili ni soko huria,Mwajiri keshasema mfanye kazi kwa laki tisa au changanyeni ngwara mwende mtapopewa hizo milion 7.7. Tena kawatakia kila la heri huko 'botswana' sasa vikao vya nini?
   
Loading...