Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

You had a point but you overtalked.

1)Robot sophia anachoongea na kujibu hakiko scripted kama unavyosema bali analearn kutokana na kile kilichosemwa ndipo algorithms zinacalculate aseme nini

2)Umesema kuhusu neurons kibao za binadam lkn naweza kusema ni useless coz binadam wanaoweza kuutumia uwezo wao wa kifahamu angalau kwa 5% ni wachache ila hizi robot zinaweza utilize uwezo wao effectively.

Mfano, kama unafatilia hii field nadhan unamfahamu robot BINA48 alotengenezwa na haohao hanson robotics mwaka 2010. Huyu aliweza kucomplete kozi ya falsafa na akapata gpa zaidi ya wanadam wengi tu pale

Kitakachotumaliza sio A.I bali ni kushindwa ku-utilize Unique Human Intelligence tulonayo. Trust me, hata kwa level A.I ilipofikia now tukisema itengenezwe community ya robots lazima watuzidi karibu kila kitu coz wanadan sasahv tumekua wavivu sana.

Na ndio maana Visionaries kama Jack Ma wanakomalia zaidi tuinvest kwenye kuboresha UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE
You have a point hapo kwenye uvivu wa binadamu...tunaji-limit sana kutumia bongo zetu..
 
Hii sio alg ya sophia bali ni alg ya binadamu na wafanyakazi wa sasa. Coz hadi doctor siku hizi unamkuta ana google. Yaan hata coders wa siku hizi walivyo wazembe kutumia intelligence yao utawakuta wanagoogle na ukimpa kazi bila internet connection basi ndo umemmaliza hvo

Pia Algorithms za sofia sio kama customer care chatbots ulizozoea.
The matter was whether Sophia has intelligence that human should fear or just some advanced programming on chip..whether bots or whatever even autonomy is just an advanced programming, and we call it for machines so that they can AI enjoy comparing them next to humans ....incomperable to human brain

It's advanced programming, not intelligence to fear, it's famous known as AI and beginners think it's super intelligence like we are.
 
Probably you have some shorts touches concerning AI.

Softwares learn on themselves??? You mean data mining??
Labda nikuulize, what is learning?

Ubongo wako umejifunza vipi tangu ulipokua mdogo mpaka hivi sasa?
Jibu la swali hilo ni moja tu, ubongo wako unajifunza kwa mifano na uzoefu(Example and Experience)
Bila hizo factors usingejua chochote

The same way A.I wanajifunza kwa njia hii hii but this time in more complex ways
Hio mifano na uzoefu ambao ubongo wako unatumia kujifunza,kufikiri na kukupa majibu kwa A.I ni kitu kile kile katika maneno(Dataset)

Hio illusion ambayo ubongo wako unakupa yaani kufikiri,ni kwamba ubongo wako una predict new pattern from previous dataset(mifano na uzoefu) the same A.I wanakifanya tena katika level kubwa tu sasa utashangaa vipi kuhusu A.I kujifunza?

Elon Musk fears the version of Reality Intelligence ( an intelligence where a machine lives on its own ) not this Artificial intelligence.
Refer speech za Elon,usijichanganye
Kama Machine hazina madhara kwanini zikiiisha zenyewe kuna madhara?

Ka CPU kamoja kanaweza kua na software ya kumimic human intelligence, seriously?? 😲
'Ka CPU' ndio nini?
Unaujua mfumo mzima wa Sophia?

AI frameworks, are a hard-coded (which are 80% C++) backend softwares that are maneuvared to read ( here is what you know they are learning??) the input data ( mostly in a statistical format) and gives output (they say prediction)

And you use python to create interfaces on top of this hidden AI C++ frameworks 😬
Chief huwa unasoma hata unachoandika?
Computers failed to overtake humans let it alone to AI, come on man, it's called advanced programming
Seriously?
Nitajie bigwa wa mchezo wa Chess
 
Mkuu unaongelea nadharia zaidi kuliko uhalisia

Chochote anachofanya robot kiko sctipted kwa namna moja au nyingine
Hata kama atafanya algorithm ku calculate kisha kutoa majibu lakini hawezi kuwa na intelligence ya kiasili zaidi ya aliokuwa programmed

Ukichukua watu mia ukawauliza kitunwasichojua kila mtu atatumia intelligence yake kujibu
Lakini marobot sofia yooote yatakupa kupa jibu moja tu sababu ndivyo yalivyokua kua programmed
Kuna Moves 1000,000,000,000,000,000,000,000,000,0000,000 zikifatiwa na '0' 22 nyingine...kwenye mchezo wa chess
A.I kuwa scripted maana yake each and every output atakayoitoa ni predefined na makers wake

Sasa nitajie binadamu gani anaweza kuandika hizo moves zote za chess katika masaa manne?

ai.PNG
 
Huo uwezo walionao maroboti wamewekewa na intelligence ya kibiinadamu, u fast wao haufanyi wao kuwa bora kuliko binaadamu
Calculator ina toa majibu within a second kwa calculation ambayo kibinaadamu itakuchukua muda mrefu zaidi.. hii haimaanishi calculate ni ina complexity zaidi ya ubongo wa binaadamu

Mwisho hilo lidubwana lina muhitaji binadamu kwa asilimia 100 kujiendesha so hiyo hofu ya huyo mtaalamu ni katika kuyapa umaarufu tu hayo madoli ambayo hayajui yanachofanya zaidi ya kufuata yalicholishwa
Tuko pamoja, Yani Mimi ni design robot na ni program whether by AI au normal programming harafu eti niogope kua ipo siku yatanizidi fikra?? and some people argue kabisa daah
 
Labda nikuulize, what is learning?

Ubongo wako umejifunza vipi tangu ulipokua mdogo mpaka hivi sasa?
Jibu la swali hilo ni moja tu, ubongo wako unajifunza kwa mifano na uzoefu(Example and Experience)
Bila hizo factors usingejua chochote

The same way A.I wanajifunza kwa njia hii hii but this time in more complex ways
Hio mifano na uzoefu ambao ubongo wako unatumia kujifunza,kufikiri na kukupa majibu kwa A.I ni kitu kile kile katika maneno(Dataset)

Hio illusion ambayo ubongo wako unakupa yaani kufikiri,ni kwamba ubongo wako una predict new pattern from previous dataset(mifano na uzoefu) the same A.I wanakifanya tena katika level kubwa tu sasa utashangaa vipi kuhusu A.I kujifunza?

Refer speech za Elon,usijichanganye
Kama Machine hazina madhara kwanini zikiiisha zenyewe kuna madhara?

'Ka CPU' ndio nini?
Unaujua mfumo mzima wa Sophia?

Chief huwa unasoma hata unachoandika?

Seriously?
Nitajie bigwa wa mchezo wa Chess
What are your skills in this field? Tunaweza kua tuna argue na beginner au tech hobbyist katika tech but from movies and most of them ni wabishi sana

We are discussing how on earth can an human made AI-based robots compared to human thinking ability?

Whatever the robot made by human with this current AI perspective it won't overrun human brain

Unachofikiria wewe ni speed ya processing, etc wakati hapa tunaongelea natural intelligence ya binadamu.

Ni Sawa na kulinganiaha speed ya cheetah na F1 race cars, fuel Vs blood??

What the robot has stored in its memory since from electronics and control garage is accessible, can you access a human brain memory since her/his birthday? If no, what are the difficulties? The answer is simple, we doesn't even know what the brain is, has, might be.

You're looking on very wrong perspective.
 
Mayu

Na

Chenchele
Nahofia kwamba hamjui maana ya kujifunza (learning) na hamjui uumbaji ni nini.

Mfano, Mungu kaumba binadamu lkn sisi tunatengeneza A.I models. Wote ni uumbaji lkn sisi tunafanya scripting ambazo tunazipa nazo uwezo wa kujiendesha kutokana na data zinazopitia na ni hivyohivyo wanadam tulivyo. Kwa maneno mengine naweza sema WE HUMANS ARE ALSO SCRIPTED.

sasa inategemea hio script inaweza kujifunza au la. Binadamu(scripted by God) anaweza kujifunza sawa, na Mungu kampa uwezo mkubwa tu lkn yy hautumii ipasavyo.

Vilevile Machine learning models (scripted by us) nazo zinaweza kujifunza na zikaadjust ufanyaji kazi na decision making kutokana na mazingira ila tofauti yake na binadamu ni kwamba models ziko na uwezo mdogo compared to humans lkn zinautumia wote ipasavyo sio kama binadam ambae hautumii hata 5% ya uwezk wake.

Mwisho tunakuja kuona kwamba ML Models will be clever than humans coz they learn faster and use most of their ability (though limited)

Sikatai point ya Chenchele anaposema kwamba hardware inaleta limits na ni kweli ubongo una uwezo mkubwa compared to computers so far, lkn computers zina utumia huohuo uwezo mdg effectively kuliko binadam anavyotumia uwezo wake mkubwa wa ubongo.

Na ndio maana narudi kukazia point ya JACK MA wa alibaba kwamba WE SHOULD INVEST IN CREATING UNIQUE HUMAN INTELLINGENCE ambayo itafanya watu waweze kutumia asilimia kubwa ya uwezo wao wa ubongo kwa sababu hatuwezi shindana na Artificial intelligence
 
Mnaopitia huu uzi itakua vizuri mkipitia ile debate ya mwaka jana kati ya Elon Musk na Jack Ma kuhusu Artificial technology coz naona mengi yanayoongelewa hapa Elon musk na Jack ma waliyatolea ufafanuzi pale ikiwemo athari za AI na kuhusu A.I kuwazidi binadamu maarifa
 
Mayu

Na

Chenchele
Nahofia kwamba hamjui maana ya kujifunza (learning) na hamjui uumbaji ni nini.

Mfano, Mungu kaumba binadamu lkn sisi tunatengeneza A.I models. Wote ni uumbaji lkn sisi tunafanya scripting ambazo tunazipa nazo uwezo wa kujiendesha kutokana na data zinazopitia na ni hivyohivyo wanadam tulivyo. Kwa maneno mengine naweza sema WE HUMANS ARE ALSO SCRIPTED.

sasa inategemea hio script inaweza kujifunza au la. Binadamu(scripted by God) anaweza kujifunza sawa, na Mungu kampa uwezo mkubwa tu lkn yy hautumii ipasavyo.

Vilevile Machine learning models (scripted by us) nazo zinaweza kujifunza na zikaadjust ufanyaji kazi na decision making kutokana na mazingira ila tofauti yake na binadamu ni kwamba models ziko na uwezo mdogo compared to humans lkn zinautumia wote ipasavyo sio kama binadam ambae hautumii hata 5% ya uwezk wake.

Mwisho tunakuja kuona kwamba ML Models will be clever than humans coz they learn faster and use most of their ability (though limited)

Sikatai point ya Chenchele anaposema kwamba hardware inaleta limits na ni kweli ubongo una uwezo mkubwa compared to computers so far, lkn computers zina utumia huohuo uwezo mdg effectively kuliko binadam anavyotumia uwezo wake mkubwa wa ubongo.

Na ndio maana narudi kukazia point ya JACK MA wa alibaba kwamba WE SHOULD INVEST IN CREATING UNIQUE HUMAN INTELLINGENCE ambayo itafanya watu waweze kutumia asilimia kubwa ya uwezo wao wa ubongo kwa sababu hatuwezi shindana na Artificial intelligence
This is mature argument, I respect it, great man!

Mimi nilikua na doubt wanaposema ati "we should fear" this AI sina shida na ulicho explain it is right.

Ishu ni kwamba AI zina weza/Zita tuzidi at some aspects ya matumizi ya ubongo wetu kama ulivo explain but they will be limited until we update them again and again

🤝🤝
 
Sio busara kudebate kwa njia hii kwenye technical stuffs kama hizi. Leta point ziwe challenged, au challenge points na sio kutumia lugha isiofaa

Ndo maana ushiriki wa watanzania kwenye tech platforms kubwakubwa kama vile github na slack ni mdogo coz wengi wanakosa tolerance, uwezo wa kujenga na kusimamia hoja, technical language etc... (to just mention a few)
Mzee kawaida mbona 😅
 
Hata yafurukute vp haya madude yatakuwa chini ya binadamu tu... Na sure hayawezi fikia level ya human intelligence... Binadamu hawezi shindana na Mungu... Sisi tumeumbwa na Mungu ila yenyewe yametengenezwa na wanadamu wenzetu.... Camera ipo toka karne ya huko ila you can't compare it with the human eye.... Impossible.
Mkuu usibishane na systems, wamekwambia yameanza kudai Haki zingine hapa duniani, anything can happen, yanaweza kuanza kutu fight.
 
Kuna Moves 1000,000,000,000,000,000,000,000,000,0000,000 zikifatiwa na '0' 22 nyingine...kwenye mchezo wa chess
A.I kuwa scripted maana yake each and every output atakayoitoa ni predefined na makers wake

Sasa nitajie binadamu gani anaweza kuandika hizo moves zote za chess katika masaa manne?

View attachment 1325004
Mkuu huko umekwenda mbali sana
Chukua tu kikokotozi cha kisayansi hakuna binaadam anaweza kukishinda kutoa majibu......Hakuna

Lakini hii haikifanyi kuwa intelligent kuliko binaadamu

Mkuu fikiria nje ya box...
Kweli unaamini roboti inaweza kuwa na maarifa kuliko binaadamu?

Roboti inachoweza kufanya kumshinda binaadamu ni uharaka na ufanisi kwasababu tayari binaadamu ameisha chakata kila kitu na kuki program kwa robot
But not intelligence
 
What are your skills in this field? Tunaweza kua tuna argue na beginner au tech hobbyist katika tech but from movies and most of them ni wabishi sana

We are discussing how on earth can an human made AI-based robots compared to human thinking ability?

Whatever the robot made by human with this current AI perspective it won't overrun human brain

Unachofikiria wewe ni speed ya processing, etc wakati hapa tunaongelea natural intelligence ya binadamu.

Ni Sawa na kulinganiaha speed ya cheetah na F1 race cars, fuel Vs blood??

What the robot has stored in its memory since from electronics and control garage is accessible, can you access a human brain memory since her/his birthday? If no, what are the difficulties? The answer is simple, we doesn't even know what the brain is, has, might be.

You're looking on very wrong perspective.
Mkuu tusibishane Sana upo field ipi?
Coz inaonekana huna practical knowledge ya hii issue...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayu

Na

Chenchele
Nahofia kwamba hamjui maana ya kujifunza (learning) na hamjui uumbaji ni nini.

Mfano, Mungu kaumba binadamu lkn sisi tunatengeneza A.I models. Wote ni uumbaji lkn sisi tunafanya scripting ambazo tunazipa nazo uwezo wa kujiendesha kutokana na data zinazopitia na ni hivyohivyo wanadam tulivyo. Kwa maneno mengine naweza sema WE HUMANS ARE ALSO SCRIPTED.

sasa inategemea hio script inaweza kujifunza au la. Binadamu(scripted by God) anaweza kujifunza sawa, na Mungu kampa uwezo mkubwa tu lkn yy hautumii ipasavyo.

Vilevile Machine learning models (scripted by us) nazo zinaweza kujifunza na zikaadjust ufanyaji kazi na decision making kutokana na mazingira ila tofauti yake na binadamu ni kwamba models ziko na uwezo mdogo compared to humans lkn zinautumia wote ipasavyo sio kama binadam ambae hautumii hata 5% ya uwezk wake.

Mwisho tunakuja kuona kwamba ML Models will be clever than humans coz they learn faster and use most of their ability (though limited)

Sikatai point ya Chenchele anaposema kwamba hardware inaleta limits na ni kweli ubongo una uwezo mkubwa compared to computers so far, lkn computers zina utumia huohuo uwezo mdg effectively kuliko binadam anavyotumia uwezo wake mkubwa wa ubongo.

Na ndio maana narudi kukazia point ya JACK MA wa alibaba kwamba WE SHOULD INVEST IN CREATING UNIQUE HUMAN INTELLINGENCE ambayo itafanya watu waweze kutumia asilimia kubwa ya uwezo wao wa ubongo kwa sababu hatuwezi shindana na Artificial intelligence

Mkuu nimekupa mfano mmoja
Ukichukua binadamu 100 ukawauliza au kuwafundisha kitu hata wasichokijua karibu kila binaadamu atatumia intelligence yake kujibu na kufanya

Lakini hayo maroboti sofia yooote yatakupa jibu moja linalofanana kwa kila kitu
Kwa msingi huo binaadamu hajawa scrpted kwa anayoyafanya, mambo mengi analazimika kufanya kwasababu aweze kuendana na wenzake (civilization) ndio maana tunatofautiana kuwaza nk

Mashine zote dunia kazi yake ni kurahisisha na kufanya kazi kwa haraka kuliko anavyoweza kufanya binaadamu.....hii sio kwa roboti sofia ni kwa mshine zoote , iwe ndege, kushona, kubeba nk
So hoja ya kufanya kitu kwa haraka na ufanisi hakuifanyi sofia kuwa smart kuliko binadamu

Tambua pia haya maroboti yako limited kwa jinsi walivyo ya program kwa vitu gani na gani
Huwezi kulichukua li sofia ukalifundisha kuendesha baiskeli kama hujali program hivyo
Huwezi kulitupa porini li sofia ati likaanza kuhangaika kutafuta njia kupata msaada nk

Kimsingi li sofia halifundishwi ila linakuwa linafanyiwa update ya script mpya ambayo ndio wanaita kufundisha, ukiliingiza chaka ndio imetoka halina muda wa kutafakari mbona hapa kama sio sahihi

Human Intelligence are unlimited lakini akina sofia wako limited kwa mambo mengi mmno hata kama watafanya kwa ufanisi kiasi gani yale waliopewa uwezo nayo wa kuyafanya
 
Mkuu huko umekwenda mbali sana
Chukua tu kikokotozi cha kisayansi hakuna binaadam anaweza kukishinda kutoa majibu......Hakuna

Lakini hii haikifanyi kuwa intelligent kuliko binaadamu

Mkuu fikiria nje ya box...
Kweli unaamini roboti inaweza kuwa na maarifa kuliko binaadamu?

Roboti inachoweza kufanya kumshinda binaadamu ni uharaka na ufanisi kwasababu tayari binaadamu ameisha chakata kila kitu na kuki program kwa robot
But not intelligence
Chief wengi wanao jaridi hii issue hawana practical knowledge
Ni just wanasoma article kuhusu A.I au ML

It's possible kwa A.I replace human intelligence
Na ndio kitu kinachotokea

Hoja ambazo nyie mnazitoa hapa zimebase kwenye 'Chinese room argument'

Hii ni hoja mfu coz Ina apply kwa hard coded Machine Intelligence

Tunachojadili hapa ni Machine Learning

Uwezo wa A.I kujifunza bila human assistance
Sio bunch of Python or Php if else syntax

Guys hivi mpo serious kweli kubishana na fact?

Kuna Mmoja nimempa assignment hapo Juu
Anipe source code za Alpha go kama hizo ni human scripts

Binaadamu yeyote mkamilifu anauwezo wa kujifunza kitu chochote na akakiweza kwa ukamilifu

Je Hizo robot unazozizungumzia zina uwezo wa kujifunza chochote kama binaadamu na zikakiweza kwa ukamilifu?

Mkuu upo serious kabisa unamaanisha maarifa ya kujifunza ya hayo madubwana ipo juu zaidi ya binaadamu?
 
Chief wengi wanao jaridi hii issue hawana practical knowledge
Ni just wanasoma article kuhusu A.I au ML

It's possible kwa A.I replace human intelligence
Na ndio kitu kinachotokea

Hoja ambazo nyie mnazitoa hapa zimebase kwenye 'Chinese room argument'

Hii ni hoja mfu coz Ina apply kwa hard coded Machine Intelligence

Tunachojadili hapa ni Machine Learning

Uwezo wa A.I kujifunza bila human assistance
Sio bunch of Python or Php if else syntax

Guys hivi mpo serious kweli kubishana na fact?

Kuna Mmoja nimempa assignment hapo Juu
Anipe source code za Alpha go kama hizo ni human scripts

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwaambia Google wakupe source code za AlphaGo ni Sawa na kuwaambia Apple waruhusu Apple device kushare na android au vingine

Sasa unataka nikaibe nikuletee just ku prove nini mkuu ?

Haya hapa maelezo yao kwanini wame abandon source code za unacho kitaka BTW ni AI programms
_20200116_201747.JPG

And sijui unauliza uletewe source code za AlphaGo daah
 
Back
Top Bottom