Mr Matata
Member
- Apr 20, 2018
- 92
- 74
Kwahiyo kwakuwa mkoa kama Arusha unatoa madini ya Tanzanite basi lazima mbunge wa Arusha awe mfano kwa kuwa na mgodi au kuwa mchimbaji? Akili za wapi hizo?Jamani nchi hii nani hajafulia sabuni za kigoma? Zile zenye rangi ya blue na nyeupe. Hivi mgeni akija kutoka kigoma cha kwanza unatizama kaja na mawese? Yeye angekuwa mfano akalima hata heka mia za mawese ingependeza sana