Madagascar: Waliofariki kutokana na Kimbunga Batsirai wafikia 111

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka Nchini humo inasema idadi ya waliopoteza maisha imefikia 111 kutoka 92 iliyoripotiwa siku chache zilizopita. Batsirai kilikuwa Kimbunga cha pili kuathiri Taifa hilo ndani ya siku 14

Kimbunga Ana kilisababisha Vifo 55 na kupelekea Watu wapatao 130,000 kukosa Makazi. Kabla ya Vimbunga hivyo, Madagascar tayari ilikuwa ikikabiliwa na Uhaba wa Chakula kutokana na Ukame

=======

The death toll from Cyclone Batsirai in Madagascar jumped to 111 on Friday from 92 reported earlier this week, the state disaster relief agency said.

The cyclone hit the Indian Ocean island late on Saturday, slamming the southeastern coastline before receding late on Sunday.

The disaster relief agency said that of the deaths, 87 had occurred in one area, the Ikongo district in southeast Madagascar. It said earlier this week it was still collecting details about what had happened in Ikongo.

Batsirai was Madagascar's second destructive storm in two weeks, after Cyclone Ana killed 55 people and displaced 130,000 in a different area of the country, further north.

The island nation, with a population of nearly 30 million, was already struggling with food shortages in the south, a consequence of a severe and prolonged drought.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom