Madagascar: Rais Andry Rajoelina anusurika kuuawa

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,906
25,180
130264.jpg
Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii.

Watu wawili ambao ni raia wa Ufaransa ni miongoni mwa watu kadhaa waliokamatwa katika kisiwa hicho kilichopo katika Bahari ya Hindi Jumanne "kama sehemu ya uchunguzi wa kudhoofisha usalama wa serikali," iliripoti Agence France-Presse (AFP), ikinukuu
vyanzo vya kidiplomasia.

--
Several foreigners, including two Frenchmen, have been detained in connection with the foiled assassination attempt, AFP reported on Thursday.

Madagascar President Andry Rajoelina has survived an assassination attempt, AFP reported citing the country's prosecution office.

Several "foreigners and residents of Madagascar" have been detained as part of an investigation into the attempted assassination.

RFI radio reported that the detained foreigners were Paul Rafanoharana, a Franco-Malagasy individual, and Philippe Francois, a Frenchman.

According to the media outlet's anonymous source, Rafanoharana was arrested at his home Tuesday evening, while Francois was detained at Ivato Airport as he was about to leave for France.

According to the news agency's diplomatic source, two French nationals were among those detained as part of the probe.
 
Licha ya matatizo mengine ambayo yanaweza kupelekea hali hii, ila Ukiangalia kwa asilimia kubwa ni pale kiongozi anapokuwa madarakani na kuwaona waliomsaidia kumuweka pale hawana maana tena,

wapinzani wake kisiasa kuwa ni maadui wa nchi, wakati huo huo shida za wananchi huna mpango nazo kabisa!!na siasa za madagasca sana sana zimekuwa ni kama za watu wawili tu, Rajoelina na yule Ravalomanana,

akishinda huyu vitimbi anavyomfanyia mwenzake , ni kuishi kishetani!!halafu tunakuja kusema hoo ni njama za wazungu, wao wanaweza kusaidia lakini chokochoko nyingi huanzia ndani kwanza!!
 
Kwani Bado hajaitambua corona na chanjo yake mpaka sasa huyu jamaa....!
Inaonekana kama bado hajaitambua Corona kiukamilifu. Ila nimesikia amekubali kupelekewa chanjo, na tayari kuna mkakati unapikwa wa kumpeleka chanjo laki tatu za awali
 
Aisee mi selewi kabisa.
Kwani mi niko wapi.
Mara Hait wabaya wamemimina risasi Rais,Juzi Rais mmoja kadungwa Kisu cha Mgongo ,Mara tena Madagascar..kuna nn huko dunia?n
 
Tatizo huyu jamaa hajatambua uwepo wa chanjo za nje za corona.hiyo ndo kesi yake.amekomaa na dawa zake mwenyewe na naskia soon wanakuja na chanjo yao ,wamadascar wameamua kuwakazia wazungu.ngoja tuone mpambano utakuwaje.
Usidangaywe na story za kijiweni, Madagascar wapo ndani ya mpango wa Covax na wameshapokea takribani chanjo 250,000 na wamechanjana watu 197,000.
SmartSelect_20210722-185433_Chrome.jpg
SmartSelect_20210722-185742_Chrome.jpg
 
Ukiwa kiongozi Afrika ni hatari kwa sasa au? Majuzi naye Rais wa Mali alinusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa kisu.

Hivi ni mbinu gani ambazo rais anaweza kuzitumia kuongoza Afrika ili asiwindwe kuuawawa? Mana inaonekana Waafrika wamechachamaa sana kwa sasa katika kuwadhulu viongozi!
 
Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii.

Watu wawili ambao ni raia wa Ufaransa ni miongoni mwa watu kadhaa waliokamatwa katika kisiwa hicho kilichopo katika Bahari ya Hindi Jumanne "kama sehemu ya uchunguzi wa kudhoofisha usalama wa serikali," iliripoti Agence France-Presse (AFP), ikinukuu
vyanzo vya kidiplomasia.

--
Several foreigners, including two Frenchmen, have been detained in connection with the foiled assassination attempt, AFP reported on Thursday.

Madagascar President Andry Rajoelina has survived an assassination attempt, AFP reported citing the country's prosecution office.

Several "foreigners and residents of Madagascar" have been detained as part of an investigation into the attempted assassination.

RFI radio reported that the detained foreigners were Paul Rafanoharana, a Franco-Malagasy individual, and Philippe Francois, a Frenchman.

According to the media outlet's anonymous source, Rafanoharana was arrested at his home Tuesday evening, while Francois was detained at Ivato Airport as he was about to leave for France.

According to the news agency's diplomatic source, two French nationals were among those detained as part of the probe.
KWENYE attempt Kama hii, ingetotokea Bongo New York, first suspect wangekuwa CHADEMA.
Polisi kumbukeni kila mpinga Covid-19 huuwawa, rejea issue ya Haiti. CHADEMA sio adui yenu, adui yenu Ni huyo mfaehili wenu
 
Licha ya matatizo mengine ambayo yanaweza kupelekea hali hii, ila Ukiangalia kwa asilimia kubwa ni pale kiongozi anapokuwa madarakani na kuwaona waliomsaidia kumuweka pale hawana maana tena,

wapinzani wake kisiasa kuwa ni maadui wa nchi, wakati huo huo shida za wananchi huna mpango nazo kabisa!!na siasa za madagasca sana sana zimekuwa ni kama za watu wawili tu, Rajoelina na yule Ravalomanana,

akishinda huyu vitimbi anavyomfanyia mwenzake , ni kuishi kishetani!!halafu tunakuja kusema hoo ni njama za wazungu, wao wanaweza kusaidia lakini chokochoko nyingi huanzia ndani kwanza!!
Sawa na yale ya CCM ya ovyo kuliko mkoloni
 
Kuwa Rais Afrika ni mtihani sana; muda mwingi unawindwa na wanaotamanj kiti chako. Mungu awalinde viongozi wetu na awajalie busara na uvumilivu
 
Tatizo huyu jamaa hajatambua uwepo wa chanjo za nje za corona.hiyo ndo kesi yake.amekomaa na dawa zake mwenyewe na naskia soon wanakuja na chanjo yao ,wamadascar wameamua kuwakazia wazungu.ngoja tuone mpambano utakuwaje.
Kwani Madagascar sio wazungu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom