Madada wa vyuo vikuu na ndoto za kuolewa na vibopa wakati amesomeshwa na mwenza wake ambaye ni hoe hae

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
FUATILIA KISA HIKI CHA PATRICK.
Patrick Oita Nyapara police jamii nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kujifanya mjanja.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada Christine Maonga kutoka ktk family duni iliyokuwa ikiishi kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Wakati akimlipia karo na mahitaji mengine Patrick alikuwa akituma pesa pia kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na family hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.

Baada ya kuhitimu masomo yake Christine alimwambia mpenzi wake kuwa amechoka kuwa naye kwani ni MTU asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila MTU afanye mambo yake.

"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni mkurugenzi wa kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick MTU usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu" aliongeza Christine.

Patrick alichanganyikiwa sana akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.

Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia Mme wa kumuoa binti yake hivyo anapaswa aachwe ajiamlie yeye mwenyewe.
Patrick hakukubali akamtafuta Dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu chuo kikuu hivyo atafute wa level ya mgambo kama yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani kufanya uamzi mgumu wa kumuita Christine sehemu ya hotel au nyumbani, walikubaliana kukutana wayamalize na waachane kabisa na binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi.
Alifika na kumkuta Patrick amejihami kama boko haram, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.

Inauma lakini ndiyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshusha pumzi nzito tu hapa baada ya kumaliza kusoma

Wa sangara
 
Ni mambo ya ajabu kumusomesha MTU kwa ajili ya kumuoa. Hii no blackmail. Kama unasomesha msomeshe tu akila kona endelea na mambo yako. Kwa sababu kuchukua maamuzi aliyochukua inazihilisha ana mapungufu makubwa ya kushindwa kuzimiliki hisia zake. Na mazala yake ataishia jera.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu akikaa nyuma ya keyboard anaongea tu kirahisi rahisi umejaribu kuvaa viatu vya hyo jamaa jpo kwa dk 1 tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuua kifo kirahisi hivyo..angemfukia MZIMA MZIMA afie huko ndani ya shimo....Mi ndo mana wadudu kama nnzi wakinikera nikimdaka mmoja huwa sim pigi kofi afe..Namdaka natoa miguu yote natoa mabawa Yote halafu namwachia akajitaftie maisha.

Yani hata wadudu kama mmbu kuwa ua na HIT au RUNGU tunawapendelea sana,wanakera mno Raha ni kudaka kuwatoa mabawa na kuwa acha wapambane na hali zao.

Safi sana ndugu Patrick Oita Nyapara ..umekosea tu kumrahisishia Kifo Huyo angetakiwa afe taratiiiibu huku akikumbuka alokufanyia.
 
Back
Top Bottom